Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Habari wakuu,

Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.

Mimi nilimuacha demu wangu kwa sababu alikuwa hajiamini. Yeye kila muda alikuwa ananihisi ninachepuka, mara utamuona usiku usiku anakuja nyumbani na kusachi kila sehemu kuona kama nina demu nimemficha. Atanitukana na kunipiga makonzi pamoja na kuniita majina ya kijinga na kwenda kwao. Akiwa njiani ananipigia simu na kunitukana Zaidi huku akinionya kuwa akinikamata na demu atakata dushelele langu na kulila mbele za watu. Cha kushangaza, sikuwahi kuwa na mchepuko kipindi niko na yeye na hata sasa.
 
Mh!!!nyie ndg zangu msio kuwa na wanawake wa jinsii mshukuruni sana mungu,wengi ss tunavumilia tu kutokana na watoto vinginevyo unaweza ao sana na kuacha.Unakuta mwanamke jeuri,kiburi,maneno machafu,chokochoko visa maneno maneno ndani hayaishi anaweza akaongea huyo usiku kucha yaani ikifika usiku unasema sasa kumekucha hadi kuna wakati unatamani usirudi nyumbani furaha ya ndoa hakuna timbwili mwanzo mwisho duh!!! nishida Adabu heshima kwa mume na utii hana,akianza kusema,kutukana mtaa wote utasikia,nimesema sana na kupiga wapi aise wanaume wengine tunashida sana.
Duuu.... Hivi kabla hujamuoa alikua hivyo hivyo
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Nimeguswa na kukuonea huruma,pole sana mkuu,na ndiyo maana kwenye familia wanaume ndiyo huwa tunatangulia kufa kwasababu tunavumilia mengi, na tunapata tabu ila tunakaa nayo moyoni tu,pole sana mkuu dawa ya mtu mkorofi ni kupiga kimya
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Habari wakuu,

Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Donatila wewe je ni mgomvi??
 
Ni leo asubuhi nimetoka kugombana na mrembo wangu. Kaniambia anajiskia anaumwa tumbo na miguu anajiandaa kwenda hospitali. Nikamuuliza una pesa, akanijibu ndiyo ninayo Tsh16000; nikamuuliza hiyo pesa inatoshakwenda hospitali? Ni hospitali gani inatibu kwa hiyo pesa? Hilo likawa kosa akawa mkali, eti dharau sipendi! Nikamuuliza dharau zinatoka wapi tena kuuliza ni dharau? Akawa mkali tena, eti kuuliza gani huko. Duh nikamwambia basi nenda huko hospitali ila hiyo pesa haitoshi. Tukamaliza kwa style hiyo, lakini nikawa najiuliza kwa nini wanawake wengi ni wagomvi wanapenda sana maisha ya purukushani na ubabe ubabe hasa wale wanawake wafupi wana matatizo sana.
 
Mimi nilimuacha demu wangu kwa sababu alikuwa hajiamini. Yeye kila muda alikuwa ananihisi ninachepuka, mara utamuona usiku usiku anakuja nyumbani na kusachi kila sehemu kuona kama nina demu nimemficha. Atanitukana na kunipiga makonzi pamoja na kuniita majina ya kijinga na kwenda kwao. Akiwa njiani ananipigia simu na kunitukana Zaidi huku akinionya kuwa akinikamata na demu atakata dushelele langu na kulila mbele za watu. Cha kushangaza, sikuwahi kuwa na mchepuko kipindi niko na yeye na hata sasa.
Makubwaa ...polee Aisee! Wanaume mnavumilia vingi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ni leo asubuhi nimetoka kugombana na mrembo wangu. Kaniambia anajiskia anaumwa tumbo na miguu anajiandaa kwenda hospitali. Nikamuuliza una pesa, akanijibu ndiyo ninayo Tsh16000; nikamuuliza hiyo pesa inatoshakwenda hospitali? Ni hospitali gani inatibu kwa hiyo pesa? Hilo likawa kosa akawa mkali, eti dharau sipendi! Nikamuuliza dharau zinatoka wapi tena kuuliza ni dharau? Akawa mkali tena, eti kuuliza gani huko. Duh nikamwambia basi nenda huko hospitali ila hiyo pesa haitoshi. Tukamaliza kwa style hiyo, lakini nikawa najiuliza kwa nini wanawake wengi ni wagomvi wanapenda sana maisha ya purukushani na ubabe ubabe hasa wale wanawake wafupi wana matatizo sana.
Pole mkuu
 
hahahahhaha..wee kaa na mwanamke mpole sana!!nyumba inakuwa too boring!!sisemi mgomvi kupindukia!!kila kitu inabidi uwe na kiasi!!Usipunguze wala usiongeze!!Mm kaskazin mkuu
Inatosha kuwa na mke mchanganfu mcheshi nk lakini sio kuwa mgomvi kiasi, hicho kiasi cha ugomvi kwa ajili ya nini?
 
Back
Top Bottom