Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Ni hatari. Tunacheka kama mazuri ila mmh ukiona mwanaume hadi anasema kuhusu kupigwa ujue hali ni tete mno
Kwa kweli, kuna wanawake watemi acha tu.
Kuna wengine anatoa kichapo halafu anatishia kubeba vitu kuondoka. Ni hapo sasa ole wake dume amwambie nenda. Mbona ataweka vitu chini aanze kutoa kichapo upya!