Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Duh ushakuwa mbwa koko! Unashindwa kumchapa vibao viwili tu jmn
 
Hivi inakuakuaje mwanamke anakupiga?

Kwani Bondia Antony Joshua alimpigaje kwa ' Knockout ' mwenzie Vladmir Klitscho? Sasa Wewe kama Mwanamke huko nyuma tu Baba yake alikuwa Bondia na alipostaafu tu akawa Kocha wa Bondia Bingwa wa zamani nchini Tanzania aitwae Stanley Mabesi halafu Kaka zake wote wawili hadi leo ni Mabondia ngumi za ' ridhaa ' humo Jeshini halafu na huyu Dada yao tokea mdogo Baba yake alikuwa akienda nae ' mazoezini ' na hadi kuangalia nae ' mipambano ' ya Ndondi na mara kadhaa alikuwa akimchanganya na Kaka zake ili kumpa mazoezi halafu leo GENTAMYCINE nimemweka ndani hivi unadhani kila siku nikiwa napigwa kwa ' knockout ' Nyumbani Kwangu nitafurahia Mkuu? ' Mbunye ' yenyewe tu ananipa mpaka ajisikie yeye na si kwa Mimi kumuomba kwanza nitaanzia wapi Mkuu? Jamani tunapigwa ' upper cuts ' za kutosha sana humu majumbani.
 
Kuna emergence kazini nimepiga number ya coworker mwenzangu kapokea mwanamke....nishaporomoshewa matusi rundo....duh wanawake tubadilike kwa kweli....girlfriend tu unatukana coworkers wa mpz wako...ukiolewa si itakuwa balaa....ngachokaaaa kabisa....

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Wakiwa na wapenzi wao..wanaigiza...ila wakiwa na watu wengine matusi..majungu..majibu ya hovyoo..
 
Wapo na tumekuwa nao!!
Wapo wengine wagomvi sana lakini nguvu hawana na
Wengine ni wagomvi na nguvu km Tyson
Majumbani humu midume tunalizwa na hawa majike dume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii
 
Fafanua vzr mkuu hilo tatizo lipo Sana kwa dadaetu mmja hapa mtaani yani ni shida
Hyo ni Disorder mkuu inaitwa
"Intermittent explosive disorder"

"Intermittent explosive disorder involves repeated, sudden episodes of impulsive, aggressive, violent behavior or angry verbal outbursts in which you react grossly out of proportion to the situation. Road rage, domestic abuse, throwing or breaking objects, or other temper tantrums may be signs of intermittent explosive disorder.

Most people with this disorder grew up in families where explosive behavior and verbal and physical abuse were common. Being exposed to this type of violence at an early age makes it more likely for these children to exhibit these same traits as they mature. There may also be a genetic component, causing this disorder to be passed down from parents to children"
 
Kuna emergence kazini nimepiga number ya coworker mwenzangu kapokea mwanamke....nishaporomoshewa matusi rundo....duh wanawake tubadilike kwa kweli....girlfriend tu unatukana coworkers wa mpz wako...ukiolewa si itakuwa balaa....ngachokaaaa kabisa....

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Heaven Sent yale yaleeee tulokuwa tunasema siku ile.
 
Kwani Bondia Antony Joshua alimpigaje kwa ' Knockout ' mwenzie Vladmir Klitscho? Sasa Wewe kama Mwanamke huko nyuma tu Baba yake alikuwa Bondia na alipostaafu tu akawa Kocha wa Bondia Bingwa wa zamani nchini Tanzania aitwae Stanley Mabesi halafu Kaka zake wote wawili hadi leo ni Mabondia ngumi za ' ridhaa ' humo Jeshini halafu na huyu Dada yao tokea mdogo Baba yake alikuwa akienda nae ' mazoezini ' na hadi kuangalia nae ' mipambano ' ya Ndondi na mara kadhaa alikuwa akimchanganya na Kaka zake ili kumpa mazoezi halafu leo GENTAMYCINE nimemweka ndani hivi unadhani kila siku nikiwa napigwa kwa ' knockout ' Nyumbani Kwangu nitafurahia Mkuu? ' Mbunye ' yenyewe tu ananipa mpaka ajisikie yeye na si kwa Mimi kumuomba kwanza nitaanzia wapi Mkuu? Jamani tunapigwa ' upper cuts ' za kutosha sana humu majumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu pole sana
 
Mi nlikua nae mmoja ivi wa chuga, asee ni kagomvi kana mdomo hakoo, yan kidogo tu maneno, usipite msambwanda nkaangalia... shidah, muhudumu yoyote nisimchekee... na kakiwa bwaks kanalianzisha km nikizingua..... nlikua nakatwanga jamani.... dah.... lkn hakaniachi adi marafk zake walikua wanakatenga... na mm nlishindwa kukaacha kwa sababu kana hela af katamu balaa....

Ila mwishowe nkakaacha coz there was no future for us....

Kalirud kakanitunuku mtoto.... bas ndo km ivo
 
Mh!!!nyie ndg zangu msio kuwa na wanawake wa jinsii mshukuruni sana mungu,wengi ss tunavumilia tu kutokana na watoto vinginevyo unaweza ao sana na kuacha.Unakuta mwanamke jeuri,kiburi,maneno machafu,chokochoko visa maneno maneno ndani hayaishi anaweza akaongea huyo usiku kucha yaani ikifika usiku unasema sasa kumekucha hadi kuna wakati unatamani usirudi nyumbani furaha ya ndoa hakuna timbwili mwanzo mwisho duh!!! nishida Adabu heshima kwa mume na utii hana,akianza kusema,kutukana mtaa wote utasikia,nimesema sana na kupiga wapi aise wanaume wengine tunashida sana.
 
Kuna kademu flani nilikutana nako kwenye mafunzo ya karate kanapenda sana varangati...sasa kila tukitaka kupiga mechi lazima kaanzishe ugomvi tupigane kakisalimu amri utasikia beby vua boxer fasta mnapiga mechi anakuwa mtulivu..ikafika wakati nikasema hizi papuchi za mpaka mpige karate siziwezi kabisa nikasepa zangu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom