Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Mkuu unaweza kukuta jamaa amebanwa Sana.halafu kumpiga mtu picha unarushia kwenye mtandao dunia nzima imeona si ustaarabu kama ni mimi lazima nikutafute.
Ila wengine wanajizoeza vibaya, mtu anashindwa kujificha anajipekenyua tu mbele za watu, hasa sehemu zenye mifereji.
inategemea na situation, kuna wanaofanya bila kufikiria altenative way lakini kuna ambao wamefikiria njia zote na kuona hakuna jinsi kuliko kujikojolea.
sitetei hii tabia lakini kuna hali ambazo mtu huwezi kujizuia kabisa.
Jamaa tuko ya mataa ya tabata mida hii kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa.Dah ustaarabu uko wapi wadau??
Mkuu ...Lakini hadharani... kwa uelewa wangu Choo ndogo na choo kubwa huwa ina Censors na kukujulisha hali halisi baada ya ujumbe kukuarifu !!inategemea na situation, kuna wanaofanya bila kufikiria altenative way lakini kuna ambao wamefikiria njia zote na kuona hakuna jinsi kuliko kujikojolea.
sitetei hii tabia lakini kuna hali ambazo mtu huwezi kujizuia kabisa.
Mkuu ...Lakini hadharani... kwa uelewa wangu Choo ndogo na choo kubwa huwa ina Censors na kukujulisha hali halisi baada ya ujumbe kukuarifu !!
Pole
Khaa!! Hivi unajua mkojo unavyouma wewe? Ukibanwa na mkojo kuwa mwanaume unakuwa na uchizi sasa unakuwa bana option nyingine zaidi ya kupee popote.Jamaa tuko ya mataa ya tabata mida hii kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa.Dah ustaarabu uko wapi wadau??
Jamaa tuko ya mataa ya tabata mida hii kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa.Dah ustaarabu uko wapi wadau??