Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
Jamaa tuko ya Mataa ya Tabata mida hii, kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa. Dah ustaarabu uko wapi wadau??
View attachment 242928
Thread gani hii mwehu wewe, choo kingekuwa karibu tungemshangaaa, pia usalama wa gari angeanza kurandaranda, na huwezi jua ana umwa hania....etc...etc....
By way wewe umeshakojoa mara ngapi kichakani? Why? Ungepigwa picha na kusambazwa mtandaoni?