Endelea na hii tabia ya kupiga watu picha utakipata unachokitafuta.Kimekuuma coz ndiyo tabia zako..
Kwa Dar si ajabu. Ingekuwa Moshi 50000 zingemtoka
Kabanwa ulitaka ajikojolee?
cha msingi kapigwa picha bila ridhaa yake,basi kiungwana ungeifuta sura yake.........
Ni pombe tu, c kingine.
Kabanwa ulitaka ajikojolee?
Wananikera na hii tabia hawa watu, sijui kwanini hawajijali.