Jamaa tuko ya mataa ya tabata mida hii kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa.Dah ustaarabu uko wapi wadau??
Mbna photo ipo poa tu hiyo!
Jamaa tuko ya mataa ya tabata mida hii kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa.Dah ustaarabu uko wapi wadau??
Mkuu unaweza kukuta jamaa amebanwa Sana.halafu kumpiga mtu picha unarushia kwenye mtandao dunia nzima imeona si ustaarabu kama ni mimi lazima nikutafute.
Mkuu, acha bwana.. FYI, kwenda haja ndogo au kubwa ni natural kuanzia utotoni na zipo taratibu kimaadili, huwezi kujikamua hadharani... hiyo fole imeanza juzi na imesababishwa na ujenzi tu!! Mwili wako unakutambulisha kuwa unahaja ya kujisaidia "at least dakka 45 hadi saa moja" !!! Sasa jipange !!Kwa foleni ya Dar hizo censor zimewekwa na kwenye foleni?
Piga picha leta hapa.Lazima tukomeshe upuuzi huu
Jamaa tuko ya mataa ya tabata mida hii kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa.Dah ustaarabu uko wapi wadau??
Le Mjamaa ni bonge sana hawezi Kuwa huyu.. ila mashati yao yanafanana rangiAna fanana na Le Mjamaa fulani