Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

Uwezekano mkubwa itakuwa kanywa mipombe.

Kuna ule msemo unaosema pombe sio chai!
 
Mtu mzima huyo mpaka kaamua kushusha hapo ujue brakes zote zimegoma.
 
Tusameane ni bia zilidi ndugu zangu na mkojo wa bia ndio kama mnavyojua tena haubaniki
 
Usifanye mchezo na mkojo..... mkojo!! Mkojo ukikubana....utautoa tu, jamaa yalimshinda akaona bora ashuke akojoe kuliko akojolee kwenye kopi la uhai na kulitupa.....
 
attachment.php


jamaa inaonekana ameshatupia Serengeti zake za kumtosha!!
 
sio vizuri kumpiga picha na kumuweka mtandaoni mkuu
 
nimekuona unanipiga picha lazima nikufanyizie subiri nimalizie bia yangu uone kilicho mtoa nyoka miguu...!!!
 
we ujue hujabanwa vizuri. . .mtu mzima huyo hali ikiwa mbaya huwezi kujizuia aisee.
ila aliyepiga picha hajafanya fair


Ila wengine wanajizoeza vibaya, mtu anashindwa kujificha anajipekenyua tu mbele za watu, hasa sehemu zenye mifereji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom