Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

JOYSTICK

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
221
Reaction score
57
Jamaa tuko ya Mataa ya Tabata mida hii, kashuka kwenye Gari yake hiyo karudi nyuma kaanza kukojoa. Dah ustaarabu uko wapi wadau??

mchimba dawa.jpg
 
cha msingi kapigwa picha bila ridhaa yake,basi kiungwana ungeifuta sura yake.........
 
Ha ha h mbona ujapata sura ha ha ha raha ya bia mkojo wake hauvumiliki
 
Mbona kaonyesha utaarabu sana tu? Je ungumuona kajikojolea si ndio ungetoa Video?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom