Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

Mi namuunga mkono huyo jamaa, mlitaka afanyaje? Ajikkojolee? Hivi mshawahi banwa na mkojo maeneo hatarishi nyie mnaompinga? Bora fedheha kuliko kujikojolea na utu uzima huo haijalishi ni pombe ama nini?
 
Tufanye ni Wewe mleta uzi alafu foleni za dar unazijua na una ugonjwa wa sukari ungefanyaje?
 
Mi namuunga mkono huyo jamaa, mlitaka afanyaje? Ajikkojolee? Hivi mshawahi banwa na mkojo maeneo hatarishi nyie mnaompinga? Bora fedheha kuliko kujikojolea na utu uzima huo haijalishi ni pombe ama nini?

sishangai jina lako na ww mnafanana
 
Unaujua ustaarabu wewe?

Watu wema wanazidi kuteketea kwa ajali za barabarani wakati watu wa aina yako mkiendelea kuvuta hewa nzuri ya dunia....narudia tena huna adabu kumpiga picha huyu bwana kwa kuwa hakukukojolea wewe! Nenda kapige picha ofisi za wakala wa bara bara waulize kwanini hawakuweka mobile toilets along highways!
 
attachment.php

jamaa inaonekana ameshatupia Serengeti zake za kumtosha!!

Why not SAFARI?
 
Umekosa ustaarabu kumpiga picha!

alichokifanya sio fair na huu uhalif J. Makamba ndo anapambana nao angalau angemficha sura maana zaidi ya 80% jamaa alikuwa hana mbadala ukizingatia pengine alikuwa mwenyewe kwenye gari pengine hakuna parking karibu hata kama ipo folen ni tatizo pengine hakuwa hata na chupa ya maji ktk gari ili aitumie sasa angefanyaje na hawez iacha gar ktk folen aende kando zaidi ya barabara. Unapomfanyia mtu kitu vuta picha ndo wewe umefanyiwa hivyo pengine ana watoto wakubwa tu na wapo ktk mitandao, wafanyakaz wenzie, marafiki, ndugu n.k ila wahenga walishasema "mkuk kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu"
 
Inabidi huko bar wawe wanatoa na pampasi saizi ya wakubwa ili wasifanye hivyo!
 
alichokifanya sio fair na huu uhalif J. Makamba ndo anapambana nao angalau angemficha sura maana zaidi ya 80% jamaa alikuwa hana mbadala ukizingatia pengine alikuwa mwenyewe kwenye gari pengine hakuna parking karibu hata kama ipo folen ni tatizo pengine hakuwa hata na chupa ya maji ktk gari ili aitumie sasa angefanyaje na hawez iacha gar ktk folen aende kando zaidi ya barabara. Unapomfanyia mtu kitu vuta picha ndo wewe umefanyiwa hivyo pengine ana watoto wakubwa tu na wapo ktk mitandao, wafanyakaz wenzie, marafiki, ndugu n.k ila wahenga walishasema "mkuk kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu"

Vijana wa aina hii ni hawa wenye malezi ya saluni...ambao nao kesho watakuja kuitwa baba ptuuuuu! Embu muulize huyu bwana mdogo angekuwa ni baba yake kafanya tukio hilo bado angempiga picha bila kumsitiri aje aiweke humu ama angemfuata kistaarabu kumwambia sio ustaarabu kujisaidia eneo kama hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom