instinct desire
Member
- Mar 17, 2026
- 84
- 120
Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo!
Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza vifungashio.
Nimeshangaa eti mwanaume analalamika kulipia mchango wa chakula shuleni ambapo atakayekula ni mtoto wake, na ukimuangalia mlalamikaji daily anakesha anapiga watu vijembe humu jukwani... hopeless kabisa.