Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,168
kivipi? msamaha hufuta riziki?
Do you also have the dustbin to throw our ego? Siunajua tena mwana sayansi
kivipi? msamaha hufuta riziki?
aisee! you are lucky ila kuna wanaume ni wabish wasamahan na wengine wanadai eti kuish na mwanamke mgomvi ni bora uish kwenye paa. yaani men .................goja waje niwaskie hapa.
unakuta mtu kalelewa kwenye family ambayo anaona mama siku zote ananyanyaswa, na hajawi kuona baba anaomba samahani hata siku moja. what do expect out of this man!
khaa! yaani kuomba samahan umekorogewa teh teh teh! wanaume ni waoga leo nimeamini.
Gf just admit it mwanaume hatakaa amwelewe mwanaume na mwanaume hatakaa amwelewe mwanamke,mko vindictive sana nyie viumbe,hamfai kabisa,tunawavumilia tu kwa kuwa bila nyie hatuwezi kuishi.
nitayainua macho yangu nitazame milima...
hivi nikikuomba msamaha utanufaika na nini hasa wakati kosa liliishatendeka? kwanza mkiombwa msamaha huwa mnavimba vichwa ni bora muombwe msamaha wa mangumi tu na manundu baaaaaasi mtatulia
sista gfsonwin na wadada wa JF mmeona hapo kwa red? applies to some of you
bishanga dont tell me kwamba wanawake tu misalaba ambayo mnavumilia?????
yet over the nite you make her your matress and your pillow, mchana your house keeper a the house meneja.
hapo uenena manake mpaka hapa nakaribia post ya 60 hakuna aliyetoa sababu zaid ya kusema tunawaloga bora hata mito ameonyesha busara zaid ya wote.
wanaume sio wenzetu, wanaume ni kambi pinzani
ukienda kwa kufikiria ni ndugu zetu utashangaa!
kama sisi sio wenzenu, nani anaweza kuwa mwenzenu? Mkifungiwa katika chumba hata saa moja haitaisha mtakamatana mashati. Ila tukiwepo tunaongezea siku za kuishi.
Hatuombi msamaha kwasababu ya kutishia uvunjifu wa amani na si kingine