Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Heheheeeee mtajibeba meeeeen!
We siunajua Adamu aliambiwa aje atawale kila kilichoko duniani including you mwaJ ! Teh
Last edited by a moderator:
Heheheeeee mtajibeba meeeeen!
Mwita Maranya, Mwita Maranyaeeeee! Njoo huku muone huyu Erickb52 ananiambia maneno yake ulokataza nisisikilize!Mwaaaaah swthty nisamehe eeeeh
Nitakutafuta badae tukale mautamu eeeeh hadi usahau kama nimekuudhi.
Mwaaaaaaah mwaJ wangu.
Hivi haka ka Mwita Maranya ni kadawa ka kumung'unya au ka kumeza na maji?Mwita Maranya, Mwita Maranyaeeeee! Njoo huku muone huyu Erickb52 ananiambia maneno yake ulokataza nisisikilize!
"Heri kuishi juu ya paa la nyumba, kuliko kuishi na mwanamke mgomvi"
sehemu ya nukuu toka katika vitabu vitakatifu..[/QUOTE
Awesome and good comment hawa watu ndugu yangu kaazi kweli]
Ukimwachia nafasi kidogo anataka akukalie kichwani,hawaaminiki
Narudia tena, mke ni PROPERTY ya Mmewe..... Kama hutaki fanya mpango ukabadilishwe jinsia ili unufaike na huu upendeleo aliotupa Mungu mwenyewe.
Narudia tena, mke ni PROPERTY ya Mmewe..... Kama hutaki fanya mpango ukabadilishwe jinsia ili unufaike na huu upendeleo aliotupa Mungu mwenyewe.
Thats my girl. Haya nenda kamweleweshe mwaJ hili fumbo la imani.mke ni mali ya mume sawa kabisa.
lakini naomba kukuuliza mali hiyo ina haki ama haina haki zake za msingi?? unapotoa jibu kumbuka kwamba hata mbwa ama paka walioko ndani mwako ukiwapiga ama kuwatesa una haki kisheria ya kushtakiwa kwa kosa la kumtesa mnyama.
We ni mwalimu wa UPE au MMEMKWA?mke ni mali ya mume sawa kabisa.
lakini naomba kukuuliza mali hiyo ina haki ama haina haki zake za msingi?? unapotoa jibu kumbuka kwamba hata mbwa ama paka walioko ndani mwako ukiwapiga ama kuwatesa una haki kisheria ya kushtakiwa kwa kosa la kumtesa mnyama.
Babu umeona gfsonwin sometime anatafakari zaidi ya upeo wa mwl wa MMEMKWAThats my girl. Haya nenda kamweleweshe mwaJ hili fumbo la imani.
Baada ya kusema hayo naomba nikujibu kuwa Mke ana HAKI zake za msingi ndani ya umilikiwaji wake na MMEWE.... Kiuhakika kabisa yeye ni sehemu ya umiliki wake mwenyewe kwa mmewe. Ni waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza tena Pekee wa Rais na hapaswi kulinganishwa na viwaziri au vimkuu vya mkoa/wilaya.
Ameshaelewa mkuu.... Kwamba katika kutekeleza majukumu ya kiserikali, Waziri Mkuu haombwi msamaha na Rais.....:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Ukizingatia waziri mkuu anateuliwa na Rais lolAmeshaelewa mkuu.... Kwamba katika kutekeleza majukumu ya kiserikali, Waziri Mkuu haombwi msamaha na Rais.....:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Kidogokidogo ataelewa kuwa mkubwa hajamb.i, na akijamb.a anakuwa kajamb.a mtoto. Na akikaa vibaya makwenzi atabwengwa mtoto wa watu.
Sema boss karudi a.k.a presidaa hapo hufurukuti gfsonwin tena bora wako karudi late...wa mwaJ aliwahi huyo lol
ahhah! mie huwaga nashinda jf usiku wote na asbh yote.