Wako hard looking na wanaleta viburi.Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?
je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?
leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.
nawasilisha.
Wanaume ndo wameshika mpini....!
are you sure that we have overgeneralized??
c'on go and read it again broda..................
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?
je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?
leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.
nawasilisha.
je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?
i got it from anecdote.Most certainly.
Read again you ask, I will not only read again, I will quote with a finely toothed comb. And commentary of course.
Umeandika.
Hujaeleza "wenzetu" wanaokusudiwa hapa ni wepi.
Hujaeleza umejuaje "wenzetu hawa si wepesi wa kukiri makosa hata kidogo", ama umefanya utafiti au unajisemea tu bila utafiti, la kama umefanya utafiti umetumia njia gani, umetumia control gani, na kama matokeo uliyoyapata yamekuwa peer reviewed au la?
Kama hujafanya utafiti, na unatumia experience ya kijijini kwako tu, walau utuambie tu tuelewe tusije kushadadia mabo ya mipasho ya Ilala Boma kwa standards za high ivory towers za Harvard.
Unasema wenzenu hao wanatafuta "means ya kujustify makosa kuliko kuomba msamaha". Sisemi kwamba hili si kweli, nataka kujua umejuaje hili?
Halafu unajichanganya kabisa kwa kuandika
Aalaa,
Wepi ni wepi?
Inaonekana kuna haja ya ku qualify certain generalizations kwa maana inaonekana mada ina mkanganyiko. Kwanza tunaaminishwa wanaume "si wepesi hata kidogo kukiri makosa" halafu tunaambiwa kuna wanaokiri makosa, sasa hawa wanaokiri makosa si wanaume au vipi?
Hivi haka ka Mwita Maranya ni kadawa ka kumung'unya au ka kumeza na maji?
Au ni ka Dr ?
Hebu mwambie asihangaike kuja huku maana b52 sio la kuchezea aisee ntamfyatua kama IRAQ ilivyosambaratika na Sadam wake!
... mwaJ unakuwa kama sidanganyiki aisee hebu usiogope Kaizer atakutunzia siri hii!
Narudia tena, mke ni PROPERTY ya Mmewe..... Kama hutaki fanya mpango ukabadilishwe jinsia ili unufaike na huu upendeleo aliotupa Mungu mwenyewe.
Ntakuombaje msamaha na babu Asprin kasema huwezi omba msamaha propertyNajua Mwita Maranya atasikia na kuja kupambana na wewe! Salama yako omba msamaha kwangu. Chezea mkurwa wewe!
i got it from anecdote.
There you go.
Anecdotal, unscientific, whimsical, probably prejudiced, unquantified and unverifiable speculations.
sasa kwani huwa huwez kuzitumia kupata starting poit?? ama kutegeneza benchmark??
what matters is everybody to give his/ her own experience and at last we shall have the true picture. not everything requires scientific evidence, some of things we discuss them by using the commonl experiences in our lives.
Sijasema kwamba huwezi kuzitumia kama starting point, nimeorodhesha baadhi ya matatizo yake tu.
nashukuru kwamba u have given me a brain, but also you have proved to me that am not wrong by using them to capture the first impression.
hahahahaha! kumbe maswali yangu ni ya kichaa???? btw mm ni mwl hivyo kwakua nawatoa watu ujinga basi na mm naweza kuwa ni kichaa ila mkubwa ukilinganisha na ninaowafunza.Wewe ulifaa kuwa kwenye academy huko watu wanapoweza kuuliza seemingly nonsensical questions from the pesrpective of the zeitgeist.
Washamfukuza Lawrence Summers Harvard hivihivi kwa sababu kauliza kama wananwake wana mbongo sawa na wanaume katika kukokotoa mahesabu. Kumbe mwenzao anatumia "academic license" wao wamemchukulia kama mtu mzima na akili zake.
Big distinction. Kwenye academia unaruhusiwa kuuliza maswali ya kichaa, huku chini ukiuliza hayo unaonekana kichaa.
hahahahaha! kumbe maswali yangu ni ya kichaa???? btw mm ni mwl hivyo kwakua nawatoa watu ujinga basi na mm naweza kuwa ni kichaa ila mkubwa ukilinganisha na ninaowafunza.
kwa hiyo kwa utash wako hii mada ilikuwa ni nonsensical sio?? but nakuhakikishia kwangu mm imeweza kunipa jibu la maswali niliyokuwa nataka nijiridhishe kwenye maisha ya kila siku. na nisinge yajua bila kuambiwa na waliotoa comment zao.