hahahahaha eti baba yao shetani,sio hivo! kuna mwanamke unakuta anakuomba mtoto eti umpe mimba atalea tu mwenyewe,sasa jitusu umpe aisee utajuta,utawekewa mabango kila sehemu kua umemzalisha hutoi hata matumizikweli kabisa mkuu mwenyewe najikusanya kabisa kabla sijapiga tukio akitoa fine ni kama bonus tu ila mwanaume sio wa kutegemea kabisa baba yao shetani
Halafu sijui kwanini aisee..Wengine tunaruka hadi kichurachura lakini mtt hapatikani..Wao wakiloweka tu imooo..Nimekumiss pia sister..Hope uko poai miss you kaboom .usiombe kukutana na sperm donor bao la kwanza tu mimba utajuta kumfahamu
Ahsante mkuu..Nawe piaHappy new year.
bao la sponsor bna halitoagi kitu hata utege vipi ila kutana na sperm donor hata swimming pool utapata mimba etiHalafu sijui kwanini aisee..Wengine tunaruka hadi kichurachura lakini mtt hapatikani..Wao wakiloweka tu imooo..Nimekumiss pia sister..Hope uko poa
Nawe uloambiwa hivyo ukakubali unajihesabu mwanaume kabisaaa!!! Umekuwa sperm donor we!!hahahahaha eti baba yao shetani,sio hivo! kuna mwanamke unakuta anakuomba mtoto eti umpe mimba atalea tu mwenyewe,sasa jitusu umpe aisee utajuta,utawekewa mabango kila sehemu kua umemzalisha hutoi hata matumizi
Avatar yako tuuu,,,Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana.
Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa. Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani? Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa marekani/dunia.
Unamdanganya nani? Hivi haujafikisha 6 kweli!!Halafu sijui kwanini aisee..Wengine tunaruka hadi kichurachura lakini mtt hapatikani..Wao wakiloweka tu imooo..Nimekumiss pia sister..Hope uko poa
haijalishi kama alikubali au kukataa,ila main poin ni jinsi gani mwanamke anaweza kua kigeugeu kwa kitu alichokitaka mwenyeweNawe uloambiwa hivyo ukakubali unajihesabu mwanaume kabisaaa!!! Umekuwa sperm donor we!!
Teh teh..Halafu mimba zao ukijaribu kuzichoropoa zinatoka na kizazi..Inabidi uwe mpole tubao la sponsor bna halitoagi kitu hata utege vipi ila kutana na sperm donor hata swimming pool utapata mimba eti
nipo poa mtu wangu
hahahahhah kwamba gusa unasebao la sponsor bna halitoagi kitu hata utege vipi ila kutana na sperm donor hata swimming pool utapata mimba eti
nipo poa mtu wangu
Pole sana dada, japo sio vizuri kupotosha. Obama hakuwahi kukataliwa na baba yake. Mzee Obama alishafanya safari nyingi tu kwenda US kumtembelea kijana wake kabla hajafariki, ni dhambi kusingizia asiyeweza kujibu. Rejea kitabu cha Obama "Audacity of Hope".Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana.
Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa. Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani? Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa marekani/dunia.
Sasa wangemuogopa wangezaa. Mungu hadhihakiwi apandacho mtu huvuna.tusiwalaumu sana as if tulikuwa innocent.Asante sana. Najiuliza hivi wanaume wa hivyo huwa wanamuogopa Mungu kweli?
hahaha mkuu unanivunja mbavu,tena anakwambia kabisa kwamba kama sio damu yangu jaribu kutoa,utanitafutaTeh teh..Halafu mimba zao ukijaribu kuzichoropoa zinatoka na kizazi..Inabidi uwe mpole tu
Kila mtu ana malengo yake kwenye maisha tena nyie ndo unakuta mnategesha mimba ili muolewe.Mkikataliwa mnaishia kuwalaani wakati chanzo ni nyie.Wewe kama upo tayari kuzaa tafuta aliye tayari sio kumzalia asiye tayari na ukilazimisha kila mtu atabeba msakaba wake utatiwa mimba the rest utajua mwenyeweNikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana.