Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Hivi hii kweli hii sentensi ya kweli au miye nimefikiria tu.. ?
hujambo Kongosho? X mass unailia wapi?Mwanamme hadi aridhike ni siku anaingia kaburini.
Anywa unamaanisha kwenye mahusiano au maisha mengine nje ya mahusiano?
Mwanamme hadi aridhike ni siku anaingia kaburini.
Anywa unamaanisha kwenye mahusiano au maisha mengine nje ya mahusiano?
Yes ni kweli!
Kupokewa begi ukitoka kazini,
kupewa pole nyiiingi,
Kuna mwimbaji mmoja alisema Dawa ya ndoa ni maneno Nisamehe, Nakupenda, na Asante!
hujambo Kongosho? X mass unailia wapi?
nisamehe....nakupenda.....asante.....noted that....
Hapo Kongosho umekosea, nadhani vaisi vesa iz truu
mmmmmmmmh!...sio kwa wote_usije leta hizo kwa watu kama sisi halafu ukashangaa unarudi patupu,...........take it!
Nitakuwa Antananarivo
kubebwa mgongoni kwenda bafuni,kuogeshwa,kulishwa,kukubali kila anachosema hata kama ni upupu,kumuacha awe free usiguse simu,akichelewa usiulize alikuwa wapi, na alikuwa na nani,mpe pwd na atm card yako. Yaani uwe silenthivi hii kweli hii sentensi ya kweli au miye nimefikiria tu.. ?
kubebwa mgongoni kwenda bafuni,kuogeshwa,kulishwa,kukubali kila anachosema hata kama ni upupu,kumuacha awe free usiguse simu,akichelewa usiulize alikuwa wapi, na alikuwa na nani,mpe pwd na atm card yako. Yaani uwe silent