Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 479
- 665
Jf wasalaam
Sio Kwa ubaya tupeane Elimu tu. Mihemko na mjibu yasiyo Faa tujaribu kuyaepuka.
Kila mtu atoe mtazamo wake.
*MWANAUME MTU MZIMA:-
Kusherehekea happy birthday party bila hofu yoyote.
Binafisi Huwa nashangaa nadhani mnaweza kuniona mshamba lkn Wacha nikubali mimi ni mshamba.
Huwa Sioni matinki na faida yoyote ya party hii maana imekaa ki kike kike sana na ukitazama Kwa mbalii zaidi unahisi harufu ya inakuja Kwa Kasi sana.
Na hili sikatai vijana wengi sana wamepoteza tigo zao Kwa sababu ya siku yake ya kuzaliwa.unakuta uwezo Hana wa kuandaa party lkn Kwa sababu ya kuiga inabidi apitie mlango wa nyuma kupata hiyo Hela.
Vijana wengi limewakuta hili sambamba na kufata mkumbo wa kutaka kupata Kila aina ya toleo jipya la simu mfano iphone 15 wengi alama zao za vidole zimeenda sana Kwa toleo hili la simu.
**MWANAUME KUPIGA GOTI WAKATI AKIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE.
Najua na humu mpo Kwa wingi sana na mmefanya nakuwa wazoefu sana.
Pengine Mimi binafisi nikawa sijawahi ishi na wazungu maana Kwa kabila langu anaepaswa kupiga GOTI katika jambo lolote ni mwanamke ni pale tu mwanaume ataenda kuchumbia for the first time basi hapo atasalimia akiwa amechuchumaa wasukuma watanisaidia Kwa hili.
Sasa wanaume wenzango ninyi ujasiri mnatoa wapi wakupigia magoti mwanamke?
Pete umenunua wewe
Hiyo party umegharimia wewe
Nguo za mchumba wako ni wewe
Inshort Kila kitu umetoboka wewe
Halafu Cha ajabu mbele ya kandamunasi ya watu unapiga goti na unapost mtandaon.!!!! Wakuu je huu ni ungwana kweli kama sio wanaume tunazalilishwa hivihivi?
Naamini kabisa tangia siku hiyo uliyompigia magoti mchumba wako atakushusha thamani Yako Kwa Hali ya juu sana
Guys huo sio upendo asee ni urofa na ufala
Acha ubaki kuwa mwanaume. Hivi vitu mnaviona vidogo vidogo ndo vinawashishia heshima sana Kwa wake Zenu halafu mnaona ndoa hazifai kumbe ulijishusha mwenyew.
*Tatu na mwisho *
MWANAUME KUSUBIRI KUONYESHA MAHABA NA UPENDO SIKU YA VALENTINE DAY.
Kwanza Mimi mke wangu haijui mama yangu haijui Wala bibi yangu haijui kuwa Kuna siku ya wapendanao.
Hii ipo sana daslam huku mikoani kwakweli sio sana kama daslam asee
Unakuta mwanaume kabisa kashona sare ya kitenge na mke wake Tena sare ya kitenge chekundu.
Unajiuliza ni kwamba siku pekee ya kuonyesha mahaba mke wako au rafiki Yako ni siku hii pekee? Mbona mikoani hizi pigo hatuna au ndo ushamba wenyewe?
View attachment 2919005
View attachment 2919010