Wanaume tunaridhishwa kwa vitu vidogo...

Mamba umewasahau
Tukitoka huko huwa haturudi
Utawakuta Nansio wanakusuburi
Labda kama si mwenyeji wa huko
We nawe kwa kunifuatafuata!Nakanseli hiyo safari nitaenda lia x-mas kwenye milima ya ukerewe!
 
Mamba umewasahau
Tukitoka huko huwa haturudi
Utawakuta Nansio wanakusuburi
Labda kama si mwenyeji wa huko

Wale sio mamba ni watu,wanaangalia na mtu wa kumvamia,hao mi nawatumiaga kama mtumbwi!
 
Hivi hii kweli hii sentensi ya kweli au miye nimefikiria tu.. ?

Kama wameshindwa kupata working formula, ni kweli haina namna Greece ndo byebye...isipokuwa baada ya Greece, Spain, Portugal, Italy you name it would follow the trend.
Hawaonea huruma sana hawa jamaa maana watakuwa maskini kuliko Tanzania na hawana vihamba vya kulima vijijini kwao.
 
hii imeingiaje hapa Ndahani?....au mimi ndio obling....
 
kubebwa mgongoni kwenda bafuni,kuogeshwa,kulishwa,kukubali kila anachosema hata kama ni upupu,kumuacha awe free usiguse simu,akichelewa usiulize alikuwa wapi, na alikuwa na nani,mpe pwd na atm card yako. Yaani uwe silent

Mmh..vingine hapo vikubwa Smile...hiyo ya kumpa pwd na atm card,ya kutokuuliza mbona umechelewa mpenz kujua kama alipatwa na tatizo,kumbeba mgongoni inategemea na maumbo yenu jamaaani......maana ukikubaliana na kila kitu,mwishowe atakuambia bong'oa hapo nile uchochoro nataka kujaribu upenyo huo utamu wake ukoje sweetie....aaaaaaaaah,hapo sasa mdada atakuwa mke mwehu,mambo gani hayo!
 
We Tabasamu maneno gani tena hayo ya KUBEBANA, KULISHANA hayo sio yanayofanyaga wajasiriamali wawatafute hadi msaada kwa Mods unaombwa refar Senetor! Kakushukia with Full thread, kuna tetesi ikipita leo hajasaidiwa na Mods huenda akajiua!
 
Kupokewa begi ukitoka job,kuandaliwa nguo za kuvaa na viatu,kuvalishwa viatu na koti,kuandaliwa nguo za kulalia na kitanda,kukatwa kucha na kunyolewa,kusuguliwa mgongon na miguuni,kudekezwa ukiugua,kupewa mamlaka yote kama baba wa familia,kuombwa msamaha hata km kosa ni lako,....................!anakuwaga hoi na kuona duniana kote hakuna km yy lol!
 
..."kuthaminiwa," kwa maana ya kujali, heshima,... na katika na hayo, kunazidisha mapenzi ---kwa muono wangu.
 
kubebwa mgongoni kwenda bafuni,kuogeshwa,kulishwa,kukubali kila anachosema hata kama ni upupu,kumuacha awe free usiguse simu,akichelewa usiulize alikuwa wapi, na alikuwa na nani,mpe pwd na atm card yako. Yaani uwe silent

heri kuishi mwenyewe kuliko kununua hayo matatizo, nitawezaje kumfanyia hayo mtoto wa kiume ikiwa mimi mwenywe sijiwezi na nahitaji kufanyiwa hayo?
 
Mmh..vingine hapo vikubwa Smile...hiyo ya kumpa pwd na atm card,ya kutokuuliza mbona umechelewa mpenz kujua kama alipatwa na tatizo,kumbeba mgongoni inategemea na maumbo yenu jamaaani......maana ukikubaliana na kila kitu,mwishowe atakuambia bong'oa hapo nile uchochoro nataka kujaribu upenyo huo utamu wake ukoje sweetie....aaaaaaaaah,hapo sasa mdada atakuwa mke mwehu,mambo gani hayo!

Hahaha! kwel mwaya.
 
hili la kuombwa msamaha ata kama hujakosea ndio shida sijui kwanini wanapenda kuonekana ma angels...
 
Back
Top Bottom