Binafsi sioni kama ni busara kwa huyo bwana kuingia katika vita vya maneno kupitia mitandao ya kijamii na huyo mwanamke.
Huyo mwanamke rekodi yake ya inda, unyambi, na ushari inajulikana.
Na ni kweli si malaika hata kidogo na watu tulio na utanabahi wa haki na usawa hatuamini mazima yale yote yaliyozungumzwa naye juu ya huyo bwana.
Kwa sasa ampotezee tu.
Wenomatena sio ndogo
Wenoma
Sikujua NA huyu mwehuu naeee