Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Gardner mbona mimi sina Range rover ila naishi nakaa uswahilini poa tu ila sisumbuliwi na mwanamke wala simtegemei wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika ila bora ungekaa kimya ufiche ujinga wako.
 
gardner mi nilijua tu Kwa mwendo ule mliokuwa mnaenda nao nilijua tu draft lita kuja vurugika ila mpotezee tu kwanza ulikuwa umeoa mwanaume mwenzako
 
Wanaume dhaifu hawapendi kuwa na mwanamke mwenye msimamo kama jide.
Ndio maana sijashangaa wanaune kuanzisha Uzi kumzungumzia.
jide kujiita komando alimaanisha yeye ni mwanamke Wa shoka.

Mh mbona kama jike dume yule mvuto hamna kabisa
 
Hivi thamani ya mtoto wa Gardner nikitaka kuoa ni sh ngapi. Naona ba mkwe anateseka jamani.
 
Mimi huwa nawadharau sana wanaume wenzangu wanaojibizana na wanawake....
 
Ruttashobolwa
Kwa mtazamo wangu hiyo ni kweli kabisa na wengi wenye mtazamo tofauti nadhani ni ama wako kwenye denial au wanasumbuliwa na ujinga (ujinga si tusi btw, ni ile hali ya kutojua au kutokufahamu jambo au kitu fulani tu).

Na tusiende mbali. Tuanze na humu humu Jamii Forums.

Ni wanandoa wangapi humu ambao wenza wao wanajua kuwa wamo humu?

Na kama wapo wanaojua, ni wangapi hata wenye access na PMs za wenza wao?

Kama wana access, wana access ya accounts ngapi ukizingatia mambo ya multiple IDs?

Ni wanandoa wangapi humu huwa wanapinga wenza wao kushika simu zao (a dead giveaway in my opinion)?

Kwa nini hawataki waume au wake zao washike simu zao? Kuna nini humo kwenye simu?

Eti wanaonyeshana nyeti zao lakini ikija kwenye simu hapana, kila mtu ashike yake,Vichekesho tupu.

Ni wanandoa wangapi waliomo humu Jamii Forums ambao huwa wana flirt flirt na members wengine, iwe kwenye threads au kwenye PM?

Ndoa nyingi zimejaa unafiki na wanafiki tu.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa
Layman's perspective!

Topic; Ye mtu mzima bwana yaani alikuwa kaoa ila alikuwa hajui nini cha kujibu lini na vipi ajibu mpaka leo?Kashamjibu mangapi so far tangu wameoana.
Wanaume wengine wanatudharaulisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama inabidi aulize ushauri Instagram kuhusu azungumzie maisha yake binafsi au asizungumzie basi hata siwezi kushangaa kashindwa kukaa na Jide.

Na anavyojianika anaishi kwa hisani ya yule na huyu, anahakikisha kuna wanaume kama mabinti kama alivyoimba Jide.

Hawa wote wamekutana, yule Jide ana kiburi na anajua kukitumia, huyu Gardner anajua kujifanya victim.

Reversal of roles, kibongo kawaida mwanamme ndiye anakuwa na kiburi na nwanamke anajifanya victim.

No wonder Jide aliimba wanaume kama mabinti na Yahaya.
 
Unataka kumshauri nini?

Wakati wanatongozana kwani walikushirikisha?
 
Ubungoubungo
Mmh shughuli ipo hapa. Ila kwa mineno hii nawe mkeo ana kazi ya ziada.
 
Last edited by a moderator:
Gardner kadhihilisha ni mtu wa kuishi kwa hisani

khaa huku tunawaita b.itch ass niggas
 
Gadner bora ukae kimya navyomjua jide kuna mengine kabakiza kwahiyo ukijibu tu yale kama ya emma mbasha ya kuomba tigo atayasema.
 
kzba
Mtoto wa kiume kazaliwa jasiri mpotezee ana mpya sasa.
 
Last edited by a moderator:
ggh unatia huruma sn coz uliishi maisha ya kuigiza kwa muda mrefu sn na ulikuwa mpumbavu kwakijifanya director wa mtu ambae umaarufu wake ni mkubwa kuliko wwe matokeo yake jamii ikawa inakuona kama msindikizaji wa maisha japo jide ni mbaya wa sura na umbo kuliko wwe hivyo basi wwe ukawa una mbeba yye ili aonekane angalau yupo ktk watu,kiukweli ggh ni hb bro na jide ni choka mbaya hela tuu ndo zina mbeba na anajifanya alimvulia sn ggh kwa matendo yake,c kweli alikuwa anshindwa kumuacha kwani angempata wp hb atakae mvumilia kwa jinsi alivyo kinyago??hvi jide ameacha bangi?nakumbuka tumevuta nae sn kipindi alichokuwa anajifanya msela na cjui kama atapata mtt kutokana na madhara ya bangi.sorry
 
Back
Top Bottom