Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
IFRS
Gadna ulikosea sana kumwacha mkeo wa kwanza. Jide sio wife material, hata ukimsikiliza, ukimwangalia kwenye kipindi chake hasa alipokuwa na wewe, alikuwa anakudhalilisha tu, yule sio mwanamke wa kuolewa, yule ni kama mwanaume mwenzio.
Sisi wenzio wenye wake tulikuwa tunakaa na wake zetu halafu tunakuchora tu kwenye Luninga, hawa wanawake walikuwa wanaquestion sana kwamba hivi kweli mke kama huyu anayeonekana ni fahari, mafahari wawili wanaweza kuishi zizi moja na alikuwa anakudhalilisha ukionekana kama wewe unalelewa.
Bora umeondoka pamoja na kwamba umefanya mchango mkubwa sana kwake kama akikusahau atalaaniwa kabisa kwasababu umemfikisha pale alipofika na ulikuwa na yeye katika shida zake zote.
Hata kwenye bifu lake na Ruge, pamoja na kwamba kila mtanzania anajua Jide alilalaga na Ruge chumba kimoja South Africa, bado ulivumilia ukawa upande wake. ulikosea, lakini kwasababu kosa lilishatokea basi fanya ya mbeleni na utafanikiwa.
Mbona watu wanakupenda wewe kuliko yeye? fans wote Tanzania wanakupenda wewe kuliko Jd achana naye, aende zake na nakuhakikishia hatafika mbali, labda kama atarudi kwako kwa magoti mimi mwanamke kama yule siwezi kuishi naye hata mwaka mmoja.

Last edited by a moderator: