Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Mimi ni mwanaume lakini siwezi kuwa upande wa Gadner hata siku moja.Nakumbuka alivyomuacha mkewe akiwa na watoto wadogo.Masononeko ya mkewe ndiyo yaliyomfikisha hapo.Arudi kwa mkewe aombe msamaha ili mkewe akunjuwe nafsi la sivyo kila siku atakuwa mtu wa majuto na kuomba ushauri mitandaoni.
 
Tunaishi katika ulimwengu ambao mwanamke akirise hoja mbaya dhidi ya mpenzi wake, huonekana ameonewa sana na mwanaume huyo ni mbaya sana. Lakini mwanaume akiyazungumza ya mwenzi wake huonekana anamdhalilisha mwanmke wake. Ndio maana wanaume tumepewa koromeo lengo ni

kwamba sauti zetu zisikike kwa busara na hekima sio kuzitoa hovyo hovyo.Wanawake ni mabingwa sana wakujifanya victims hata kama wao ndio chanzo cha yote.
 
Usi conclude kwa kusikia ya upande mmoja. Simtetei Gardner wala Jaydee. Kumbuka wanawake ni wepesi sana kuongea na kusema ya ndani kupita wanaume ili kupata huruma ya jamii.
Jifunze kutokutoa hukumu baada ya kusikia ubaya wa ntu wa upande mmoja. Asilimia 90 ya wanandoa ni style ya Gardner "chupi mkononi" kama mlivyomuita lakini wake zao wako kimya hawawaaniki kama huyu mwenye jeuri ya pesa. Kama kaamua kuondoka mwenyewe kama anavyodai, hana sababu ya kubwabwaja mitandaoni kama kuku anayetaka kutaga. Panapo ukweli utaonekana tu. Huna sababu ya kumdhalilisha mwenzio mliteishi zaidi miaka saba mki share kitanda kimoja
Kwa nafasi ya jaydee kajidhalilisha, hakumdhalilisha Gardner. Gardner atabaki kuwa mwamamme na tabia za kiume no matter what! Jaydee ni mwanamke hata amiliki dar es salaam, na utajiri wa bakhresa hataitwa mwanamme. Ajifunze kuwa mwanamke maana kwa uanaume wake wa kujipa sababu ya pesa, hata kwjngine atashindwa.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Umenena vyema Mkuu, damn straight!
 
Hizi post za Gadner naona kama zinampa kudos Jide. Kama mwanaume mzima unaandika unaishi kwa hisani ya mtu fulani kwa nini isiwe hata kwenye ndoa ulikuwa unaishi kwa hisani ya Jide. Halafu mwanaume uliyepevuka kiakili unawezaje kuomba ushauri instagram?

Ndio maana Jide alisema kwa umri ulionao ulipaswa wewe ndiwe uwe mtu wa kumshauri na kumuongoza Jide ila bahati mbaya imekuwa tofauti. Hata hizi post zako za instagram zinaonyesha wazi jinsi ambavyo umri wako hauendani na akili zako. Busara huna Gadner.
 
Gardner hana lolote hapo anazuga tu ili aonekane na yy kuna vitu alikua anavumilia kwa Jide kumbe hakuna lolote. From the story Jide kaeleza ya moyoni na ni ya ukwel inaonekana. Sawa Jide c o malaika bt seemz mistakes zake ni za kawaida compared na za mshkaji ndio maana amebaki kuuuliza eti aseme au anyamaze.... kifupi mshkaji ni player sana

Ila kumbuka Gad alivuliwa kutoka kwa mwanamke mwenzie, imagine maumivu ya mke wa kwanza na watoto wa Habash, tena harusi ya kifahari ili sumie....kumbuka ndoana ni ile ile, ilimbua dagaa hata kambale atavuliwa kwa ndoana ile ile
 
Dont argue with stupid people, they will drag you to their level and then beat you with experience.
 
Unataka kumshauri nini?

Wakati wanatongozana kwani walikushirikisha?

Sema wakati wa kutiana ulikwenda kumshikia paja? Je waijua radha wsliyoipata mpaka wakaamua kumwagana?
 
Mimi ni mwanaume lakini siwezi kuwa upande wa Gadner hata siku moja.Nakumbuka alivyomuacha mkewe akiwa na watoto wadogo.Masononeko ya mkewe ndiyo yaliyomfikisha hapo.Arudi kwa mkewe aombe msamaha ili mkewe akunjuwe nafsi la sivyo kila siku atakuwa mtu wa majuto na kuomba ushauri mitandaoni.
mke gani tena? alishaolewaga na jamaa lenye pesa kuliko gadner, akijaribu kumfuatilia jamaa atamnyonya kamasi. ni mke wa mtu na ana watoto wa mmewe. gadner tulia kimyaaaa, usijaribu kumfuatilia huyo mke wa mtu.
 
Hizi post za Gadner naona kama zinampa kudos Jide. Kama mwanaume mzima unaandika unaishi kwa hisani ya mtu fulani kwa nini isiwe hata kwenye ndoa ulikuwa unaishi kwa hisani ya Jide.

Hapo mimi nadhani huyo bwana alikuwa anatia sarcasm tu kwa sababu pia aliweka anakula kwa hisani ya EFM.

Sasa hao EFM wanamlisha bure tu au anafanya kazi na kulipwa kulingana na kazi aifanyayo?

Mimi hilo la kufanya hivi au vile kwa hisano ya fulani nimechukulia tofauti kabisa na ulivyoliona wewe.
 
Aachane na hiyo kitu. Aendelee na maisha! Watu watashindwa kuwatofautisha. After all, hawezi kujua, wagombanao ndio wapatanao!!
 
Kwani jide ma gadnr nanianamiliki besa besa nyingi wajameni.........:rockon::rockon:
 
kuna haja gani ya kuandika instagram, fb, twitter etc kwa mtu mzima kama gadna.

kuna umri ukifika mambo ya mitandao unayaweka pembeni. unafanya maisha kimya kimya.

Hujawahi kuchafuliwa wewe,usiombe yakukute utahitaji hata ushauri mtoto wa miaka 7
 
Tuwekee ya jide kwanza

D.png


A.png

B.png

E.png
 
Back
Top Bottom