Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

Wanaume tukutane hapa tumshauri Captain Gardner

so ishu aendelee na mambo mengine kuliko kuishi kwa kusimangana na kulala mzungu wa nnee bora kila mtu ale kona kwani nini!!!?
 
Kama inabidi aulize ushauri Instagram kuhusu azungumzie maisha yake binafsi au asizungumzie basi hata siwezi kushangaa kashindwa kukaa na Jide.

Na anavyojianika anaishi kwa hisani ya yule na huyu, anahakikisha kuna wanaume kama mabinti kama alivyoimba Jide.

Hawa wote wamekutana, yule Jide ana kiburi na anajua kukitumia, huyu Gardner anajua kujifanya victim.

Reversal of roles, kibongo kawaida mwanamme ndiye anakuwa na kiburi na nwanamke anajifanya victim.

No wonder Jide aliimba wanaume kama mabinti na Yahaya.

Umeona eh
 
The Boss
Hahahaaaa,kuna jamaa juzi juzi hapa aliniambia eti nina LL.B Marekani hawatoi LL.B.

But then again I went to the School Hard of Knocks where I majored in Major and got a PhD. in Common Sense:smile-big:.

Juris Doctor (JD) and it is a graduate program!:smile-big:
 
Mbona unakiburi ivyo wewe mwanamke...alafu ndio unaniambia nichepuke na wewe... nimekushtukia kumbe unataka
unigardne.

ushaona mchepuko unafanyiwa kiburi? mchepuko unapendwa, unalindwa, full kujali shaka ondoa mchepuko wangu
 
Hehehe, #VJM ndo nani tena?
Nacheka kama mazuri,nampenda sana jide na kwa ajili ya mziki wake. Gadner nilipenda support aliyokuwa anampa mkewe. Seen a few gestures between them nikaona wanapendana. Ila kwa hili jide anachemka. Ingetosha kusema ilikuwa ndoanyenye physical and emotional abuse akaishia hapo. Too much info sijui za kushika makalio wahudumu blah blah

wanandoa wakichoka bana ha ha ha full kutangazana ukistaajabu ya jide kusema gadner anashika wahudumu makalio utayaona ya flora kusema mbasha alikua.anamuomba tigo he he he ncheke kama mazuri vile
 
Daah amuache kama ni ngua kashamvua.......manake huwa anasisitiza kuwa hawajaachana bali yeye jide ndio kamuacha gadna....
 
JD sio akili yake hii lazima kuna mtu anampa kibur kwan yale si maneno ya kuandika mtandaoni halaf ukajiona uko sawa lazima una kitu unajivunia,bt GG chukulia poa 2 huyo ana akili za panzi.
 
kuna haja gani ya kuandika instagram, fb, twitter etc kwa mtu mzima kama gadna.

kuna umri ukifika mambo ya mitandao unayaweka pembeni. unafanya maisha kimya kimya.

: D Mbona [Le Mutuz ] mitandao ndo kwanza anaanza :what:
 
pure heart
Akili yangu inakataa kuwa GGH alikuwa mario kwa JD. Wakati wanaoana JD hakuwa na hela - alikuwa maarufu tu. Mafanikio ya JD yamechangiwa kwa kiasi kikubwa sana na GGH kwa sababu GGH kazi ya umeneja aliiweza vizuri, biashara ya starehe anaijua vizuri na kwa kutumia ujuzi wake huo aliweza kumtengenezea JD njia. Kwa hiyo waliunganisha vipaji.

Kama kuna mtu mwingine ukiacha GGH aliyekuwa anasimamia kazi za JD naomba kufahamishwa. Sasa kama GGH alikuwa anaendesha "magari ya JD" alikuwa anaendesha magari ambayo ameyatolea jasho kwa kuandaa show za mkewe, kusimamia miradi n.k. Ni magari yao. Kama JD ataamua kujimilikisha mali zote kwa sababu GGH hakuchangia itakuwa ni dhuluma ya wazi wazi.

Na hapa ndipo ninapowaonea huruma wanaume wanaochuma mali na wake zao ambao usoni ndo walionekana wakifanya kazi kisha ndoa zikabumburuka. Akidai haki yake ataitwa a.k.a mario. Hata kama JD alikuwa akimlipa GGH kwa umeneja wake na GGH akawa na mali zake, naamini zipo mali zao kama wanandoa. Wao wanajua vizuri zaidi. GGH anaweza kuwa mario kwa wanawake wengine ila si kwa JD. Kaka alikuwa anajituma.

Kuhusu tabia zilizosababisha JD kumuacha mumewe mi naona ni sawa alivyofanya. Swali ni je, ndo kajua leo tabia za mumewe? Hapana. Alijua kabla hata hawajafunga ndoa ila kwa kuongozwa na wimbi zito la mahaba lililomfanya aone chongo la GGH kuwa kengeza. GGH ni kunguru asiyefugika. Ana tatizo la kihaiba. Naogopa kumhukumu kwa tabia zake mbaya maana siamini kama anazifurahia.

Atafurahia nini ndoa ya kwanza imemshinda-hayuko na mkewe wala m/wanae, mahawara ndo leo kwa huyu, kesho kwa huyu, ndoa ya pili imemshinda anajidhalilisha kwa kuvulia wanawake nguo hovyo ingawa hii inaonekana si tatizo kwa wanaume pombe nyingi Ndani kabisaa GGH hana furaha. Ni binadamu gani awe wa kike au wa kiume hapendi utulivu, upendo na amani? Nampongeza JD kuwa ameweza kutoka kwenye kifungo cha utumwa wa kihisia alichokaa muda mrefu. Namuombea GGH naye afike mahali aweze kutoka kwenye kifungo alicho nacho.

Kitendo cha kuropoka hadharani si cha kiungwana ila wenzi wengi wa kike kwa kiume huwa wanafanya hivi katika kutafuta faraja na huruma sema ndo hivyo mambo mabaya huwa ni ya kike, mazuri ya kiume.

like like like!
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanandoa hawa????? pasua kichwa ila jide bana hahaaaaaa heshima pesa mjini
 
Mwanaume kama Gadner ni FA.LA

Mwanaume tokea lin UKAPENDA VYA KUPEWA.
 
Mwambieni;

Aache michepuko,siku zote ndio inarudisha watu to square one.............

Akiwa na mwanamke asimpige na kumuumiza kisaikolojia kwa kumpiga mbele ya public na kumuonyesha michepuko yake hadharani........wanawake tumeumbwa uvumilivu ila ukifika kikomo...utajutraaaa....jide amevumilia vipigo na michepuko baadaye akashindwa katoa frustration zake mtandaoni......

Lastly mwanaume wa kweli hapigani na mwanamke,baada ya kuona jide kamwaga yake angeuchuna tu kuongea na yeye imemshushia heshima fulani......
 
Amkaushie tu yule mwanamke ni bingwa wa malumbano na akiona anaelekea kushindwa anakimbilia huruma ya wana jamii.
Kukaa kimya ni jibu tosha.
there you are mkuu...mimi tangu zamani nawaambia wana kuwa JD hajui kunakomfaa...taarabu taarabu taarabu..na kwa mtu yeyote mwenye ufahamu wa wastani anajua JD needed that marriage kuliko Gadna

Hivi mnaujua umri halisi wa JD? KIBIBI IS AN UNDERSTATEMENT!!!

Na historia yake ya kudownload vitoto ambavyo havijafika umri wa kuzaliwa? no wonder she cant conceive!!!

na vipi Gadner akiamua kusema yaliyojiri South Africa between JD na Ruge? nani malaya hapo

Huyu komando (naprefer kureplace "o" ya kwanza na "u" na kuweka space kabla ya "n" na kuongeza "o" mwishoni katika hilo jina) is just a cry-wolf...yeye ndo wa kulialia tuuuu!

in fact she is a loser through and through

kwa kujistukia ndo huwa anakuja na foolish songs zenye verse kama "wanauliza nitaolewa lini, nitakufa lini' nitaachika lini, nitazaa lini" well yote yatatimia lakini mtoto atamsikia bombani...na kwa vile hajui kusamehe naye hatasamehewa na kujaliwa mtoto... sura yenyewe kama dume!

kuna yeyote anayekumbuka alivyojaribu kukata mauno kwenye ule wimbo sijui " usiusemee moyo? it was more like msitimu wa tanesco unajaribu kushake...pambaafffff
 
kuachwa kunauma.... ata akimjibu ndo kishaenda hivyo, ataendelea kuendesha vits yake mambo ya vogue atabaki kusimulia
#IshakuwaHistoria

kuachwa na mwanamke mwenye sura akitabasamu kama anapiga chafya??? be my guest, anythime!!!

I bet Gadna akiwa kwa bed alikuwa analazimika kuvuta image ya Mariah Carey ili aweze angalau kupata bao
 
Back
Top Bottom