Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,715
kuachwa na mwanamke mwenye sura akitabasamu kama anapiga chafya??? be my guest, anythime!!!
I bet Gadna akiwa kwa bed alikuwa analazimika kuvuta image ya Mariah Carey ili aweze angalau kupata bao
Ni ujinga kukubali kumuoa mwanamke unayedhani ana sura km anapiga chafya...
BTW judith ni mrembo sana,labda utuwekee sura unayodhani ni mrembo,na umemweka ndani...