Unamaanisha nini?
Suala ni mgawanyiko wa kazi tu, mengine kachumbari ndani ya chips.
Mwanaume wa kweli ni yule anayehakikisha familia yake haitetereki katika kupata mahitaji ya kila siku.
Nyingine kachumbari tu.
Mbona tupo wengi sema camera tu hazituoni!
Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha vyombo, yeye anaenda sokoni wewe unafungua na kuogesha watoto nyumbani kazi kusaidiana jamani hata mapenzi yanashamili ndani ya nyumba.

Waliooa marobot utawajua tu!!!!
hata mimi kwa dizaini ya huyo jamaa hapo juu bora unipe talaka yangu nirudi kwa babangu!!!!me nibebe vyote hivyo yeye abebe nini?
Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha vyombo, yeye anaenda sokoni wewe unafungua na kuogesha watoto nyumbani kazi kusaidiana jamani hata mapenzi yanashamili ndani ya nyumba.
Mimi nitaanza nikishuka na mywife wangu mie mbele yeye nyuma nambebea pochi yale kistyle...
Yaani nakuwa natembea mbele yake yeye nyuma yangu pochi naining'iniza style ya wabeba kahawa
Hahahaaaaaaa...........!!
[/SIZE]
heheheeheheheheeh zakupotea best upo lakini hahahahah bana maisha yanatofautiana siku hizi tunazungumzia sayari nyingine ya mwanamme anakaa pembeni mkewe anamwendesha sio kubeba magodoro.
Hakuna mwanamke mwenye akili timamu ambaye atakubali mume wake awe katika hali hiyo. Hii ni kashfa kwa mwanamke aliyetimia kichwani na hawezi kuruhusu hali hii itokee labda awe mgonjwa mahututi ICU.
Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha vyombo, yeye anaenda sokoni wewe unafungua na kuogesha watoto nyumbani kazi kusaidiana jamani hata mapenzi yanashamili ndani ya nyumba.
Judging from the picture hii sio voluntary action. Ni kweli ni vyema kusaidiana kazi, lkn picha hii haioneshi mwanaume anayemsaidia kazi ya malezi mkewe, bali inaonesha mwanaume aliyesusiwa mtoto na mwanamke.
Katika hali ya kawaida, hata kama mmeamua kugawana majukumu, basi sidhani kama jukumu la kumbeba mtoto litabaki kwa anayeenda mjini kununua godoro.
Ni mtazamo wangu lakini