:becky::becky: umetoa maoni lakini kwenye tume ya katiba mpya?
Kujazana bungeni kupitia viti maalumu.
Tunakwenda kwenye siasa sasa, usinikumbushe stress za kule. Vinginevyo tuhame huku.
Naona wewe ulitaka unipeleke huko.
Mi nimejikita zaidi mwanaume kumsaidia mwanamke kwa shughuli mbali mbali nimeuliza ajenda kubwa ya Beijing ilikuwa ni nini? je ni siasa na kiuchumi tu ndo kuna mfumo dume?
Nilikuwa najibu swali lako, dhumuni lake ilikuwa nini.
Back to topic, miye wangu huwa hataki hata nifungue vifungo vya shati langu, anadai hiyo ni kazi yake.
Issue nisipomkuta lazima nisubiri mpaka arejee vinginevyo mshenga ataitwa!.
mtakula kwa jasho lkn siku hizi hata kina mama tunatafuta hela mbaya na kutunza familia,kwa nn ww baba usimsaidie mama majukumu?tena tunapoelekea itafika mahali baba na mama mnawekeana zamu mpaka ya kupeleka mtt kliniki,mfumo dume tupa kuleeee!
hakuna neno lililohalalisha unyanyasaji, sawa me nipike nifue katafute basi hizo hela nayo shida ,mama wa watu akaange mihogo huyohuyo umtumikishe home lol, bora ningekua arabuni kazi yangu moja tu hata sokoni siendi