Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511

Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha vyombo, yeye anaenda sokoni wewe unafungua na kuogesha watoto nyumbani kazi kusaidiana jamani hata mapenzi yanashamili ndani ya nyumba.