BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
huyu mtoto hatodondoka kweli? Nina mashaka na na hilo pozi lake
Upo biased..what if mkewe anaumwa?au ameenda kujumua samaki feri? aende na mtoto?
we ujui kama kachumbali inanogesha piaUnamaanisha nini?
Suala ni mgawanyiko wa kazi tu, mengine kachumbari ndani ya chips.
Ndio kusaidiana..Mwanamke alibeba miezi tisa/9 peke yake mchana na usiku bila msaada.Nadhani huyo baba ni mfano wa kuigwaNa vp mwanamke anamfuata mgongoni yupo nyuma je? Au mwanamke katangulia na kuvuka barabara.
we ujui kama kachumbali inanogesha pia
we hujawai kula eeee ama kweli we mtoto wa kishua wakati wenzio washindia hiyohiyoKula kachumbari bila chips uone kama inanogesha
haya bwana 2achane na kachumbari 2fuate upendo wa kweli wa kusaidiana majukum na sio kudanganyana
Hakuna mwanamke mwenye akili timamu ambaye atakubali mume wake awe katika hali hiyo. Hii ni kashfa kwa mwanamke aliyetimia kichwani na hawezi kuruhusu hali hii itokee labda awe mgonjwa mahututi ICU.
Waliooa marobot utawajua tu!!!!
heheheeheheheheeh zakupotea best upo lakini hahahahah bana maisha yanatofautiana siku hizi tunazungumzia sayari nyingine ya mwanamme anakaa pembeni mkewe anamwendesha sio kubeba magodoro.
mtakula kwa jasho lkn siku hizi hata kina mama tunatafuta hela mbaya na kutunza familia,kwa nn ww baba usimsaidie mama majukumu?tena tunapoelekea itafika mahali baba na mama mnawekeana zamu mpaka ya kupeleka mtt kliniki,mfumo dume tupa kuleeee!
hahahaaaaaaa kweli kusaidiana ni kuzuri sana.
Namaanisha kuna baadhi ya watu wameoa marobot!!!!!!!!
Nipo pamoja na wewe dia

Sasa umekuja mle nilimomaanisha kwamba hizo zote kachumbari tu, wanaume wa ukweli tunatoa jasho ili wale wanaotutegemea wapate mahitaji muhimu, siyo kufua hadi nepi za mtoto wakati wanao wanautapiamlo, au hela yako wamaliza nyumba ndogo na kuisahau familia yako.
Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha vyombo, yeye anaenda sokoni wewe unafungua na kuogesha watoto nyumbani kazi kusaidiana jamani hata mapenzi yanashamili ndani ya nyumba.
Mi nawatetea nyie alafu mnaniangusha jamani.
Kama hivi we mama unaenda kusaka mshiko baba zamu yake kutake care familia home
![]()
Kama hivi unatoka ofisini badala ya kupitia Bar kupata za baridi we unawahi shap home kumsaidia house girl
Maisha ya siku hizi ni kufanya kazi mke na mume kusaidiana,ila kutoka na mila na desturi wengine bado wanapinga wakisema haiwezekani mwanaume kufanya kazi za ndani,pia na kuwa na imani kuwa ukiona hivyo kuna nguvu za giza yaani (amelogwa).Mapenzi hayana dawa bali ni maelewano kati ya mume na mke