Wewe tulikuwa hivyo hivyo baadae tukabadilishwa. Wanawake sio watu wa kuwaamini ata suni. Wewe jichanganye hvyo hvyo. Siku ukija kujijua juwa wewe ni zuzu ndu ndo utakumbuka huu uzi.Sio sahihi kusema kuwa usimwonee mwanamke HURUMA haijakaa sawa.
Kama mwanaume unapaswa kuwa na sauti na ushawishi kwa mkeo lakini usimfanye chombo cha starehe.
Utakuwa ni jamii ambayo haijastaarabika.
Mke ukimtreat vizuri na ikiwa ni mke bora, ana mchango muhimu katika familia.
1. Mlezi wa familia huwezi kumgeuza chombo cha starehe.
2. Mwalimu wa wanao huwezi kumpuuza.
LABDA UNAONGELEA MALAYA NA SIO MKEO.
Kwangu mimi mke bora ninampa SPECIAL TREATMENTS lakini akiwa chini ya maamuzi yangu 90%
Nyie ndio mkiuguaga mke anakulipiza visasi vyote.
Nina jirani yangu alikuwa mtesi mkubwa wa mke...sasa jamaa anaugua lkn mke ameshikamana na watoto na kumtenge mmewe...mke anakula bata hatari
Mimi sio team kataa ndoa ila ndoa ni system ya unyonyaji kwa mwanaume. Mm mwenyewe mbna nipo katika ndoa. Unatakiwa uwe makini sana maana mimi hii ndoa ya pili ndomana nmekuwa hvi, asilimia kubwa naona kawaida tu kama vile upo single tu. Wanawake sioviumbe vya kuviamini asilimia 100%. Mwanamke wa kukupenda karne hii wamekufa wote. Wote hawa wapo kwa ajili ya pesa zako tu, kitu muhimu sana kwa vijana wasasa.Kumbe wewe ni team kataa ndoa?
Wewe ni muoga wa maisha hufai kuwa mwanamme kamili.
Lazima mwanaume uonyeshe kuwa unaweza ku handle changamoto za kifamilia, uongozi huanza na familia BORA.
Ukiwa mwanaume uliyekamilika na mwenye akili mkeo lazima akutii kwa kila jambo.
Team kataa ndoa wote ni WAVULANA wenye akili ndogo sana
Hongera sana wewe ndiye mwanaume uliyepata malezi bora toka kwa wazazi.Mke na watoto wangu ndio ndugu zangu,mke wangu ndio msiri wangu jambo lolote lazima mke wangu ajue.
Ni udhaifu kufikiria kusalitiwa au kukimbiwa.
Nikipata pesa lazima familia yangu wahusike
Siku ukipata tatizo ndiyo utajua umuhimu wa mke, kuna siku tulikuwa tunajadili hili Baba aliumwa Hosp malipo yakafanyika kabla yakupatiwa tiba yote akafariki, nyumbani pesa hakuna ikabdi mama arudi Hosp kuomba change kaambiwa pesa imerudishwa kwenye simu yake maana alitumia simu kulipa, haya password mama haifahamu wala kadi ya bank kwahiyo inabidi kuweka bakuri msibani, aibu gani hiyo.[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20] Another man down
Mimi kabla ya kuoa nilikuwa nasema password ya simu yangu sitomficha mke wangu
Baada ya kuoa akawa ananiletea mambo ya kiwaki, anataka ajue mshahara na matumizi yangu hadi bando
Nikacheka sana [emoji23][emoji23][emoji23] nikasema kuanzia Leo ndio mwisho wa kushika simu yangu (maana mshahara ukiingia lazima angeona sms ya benk, pamoja na miamala yote ninayofanya kwa simu)
Toka siku hiyo hadi leo hamna mtu anashika simu ya mwenzake.
Na kuhusu kujua pesa ashakata tamaa
MWISHO: Haya mambo hutegemea na unavyoanza kuishi na mwanamke unaanza na msimamo gani
Kuna password tunatonywa humu ila tunazidharau mwisho zinatucost
Wengine huwa ni ujinga tu wala sio kulishwa chochoteUyo tayari kashamezeshwa nyama ya chini kikubwa hapo kuwatonya ndugu zake waone namna gani wanamsaidia
Hata wanaume wapo wengi, unaweza kuta yeye ndiye dhaifu kwahiyo huyo mwanamke anamfichia siri hivyo anamhonga ili asiondokeView attachment 2741610View attachment 2741611View attachment 2741612
Usimuonee mwanamke huruma ata kidogo. Ni chombo cha starehe, akiona unamtesa akatafute mwanaume mwengine. Wanawake wapo wengi usikubali mwanamke akupelekeshe ata kidogo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Akimtema huyo mwanamke,, je uko tayari kumpatia huyo jamaa yako huduma zote ambazo mke wake humpatia?
Kwa sehemu ndogo uko sahihi.Mimi sio team kataa ndoa ila ndoa ni system ya unyonyaji kwa mwanaume. Mm mwenyewe mbna nipo katika ndoa. Unatakiwa uwe makini sana maana mimi hii ndoa ya pili ndomana nmekuwa hvi, asilimia kubwa naona kawaida tu kama vile upo single tu. Wanawake sioviumbe vya kuviamini asilimia 100%. Mwanamke wa kukupenda karne hii wamekufa wote. Wote hawa wapo kwa ajili ya pesa zako tu, kitu muhimu sana kwa vijana wasasa.
Pima DNA watoto wako na kama wako kuwa karibu nao sana na furahia maisha yako tu ndugu yangu. Waandalie watoto na enjoy au tumia pesa zako unazo tafuta kwa jasho lako. Temeona mama zetu wanavyo wafanyia baba zetu. Jitaidi tu watoto wapate malezi ya wote wawili ila isikufanye uwe mtumwa wa mtoto wa mtu kila kitu unamwambia.
Tatizo husomi post ukaelewaWewe tulikuwa hivyo hivyo baadae tukabadilishwa. Wanawake sio watu wa kuwaamini ata suni. Wewe jichanganye hvyo hvyo. Siku ukija kujijua juwa wewe ni zuzu ndu ndo utakumbuka huu uzi.
Wanawake ni chombo cha starehe akuna chengine, kama uwezi kutunza familia yaku kwa kumtegemea mwanamke nakuonea huruma sana ndugu tena sana.
Na kama unamwambia mke wako kila kitu pia nakuonea huruma sana kama mwanaume kamili. Katika karne ya sasa akuna mwanamke alie tulia na mwanaume mmoja. Utampa kila kitu na bado wauni wanakula mzigo bila ya kutoa pesa, hasili ya mwanamke katika umbwaji wake mwanamke aridhiki na mwanaume mmoja ata kama umemtoa wewe bikra. Mwanamke miaka yote yupo Opposite mpe kila kitu atachepuka tu. Mpe pesa atatafuta wa kumkuna zaidi, mkune atatufa wa kumpa pesa. Sasa wewe jiongopee tena kapime na DNA ya watoto wako ndo utakuja kunishukuru baadae, hapo yenyewe utakuwa unalea watoto wa wanaume wenzako
Nina jumla ya miaka nane katika ndoa zote mbili, bado uchumba hapo sijaesabia. Tuliambiwa tuishi nao kwa akili sana, wazee wetu walikuwa nana vumilia sana na kutunza sili na wamelea sana watoto sio wao sana. Ila shida kizazi chetu hichi ya cha utandawazi ni ngumu sana kujua unalea mtoto sio wako na ukalea. Maisha yamebadilika sana kwa vijana sisi wa sasaKwa sehemu ndogo uko sahihi.
Siku hizi 95% ya wanawake wapo kimasilahi yaani ukiwa na pesa kidogo 90% ya wanawake wako radhi uwagongo.
But 10% hawa wanajielewa na wako real.
Nasemaje?
Wanawake bora wapo sana japo wachache.
Uwezo mdogo wa wanaume kuchanganua yupi ni drama queen, slay queen na mwanamke aliye real ndio kipengele.
Kabla hujatangaza uchumba mpime huyo mke kwa vitu kadhaa, make sure unapata naye muda wa kutosha, tabia huwa haijifichi mkuu.
Tatizo mitako inawazuzia wanaume...mwisho wa siku ni vilio.
Mke sio sura na tako pekee.
Hakikisha unayemtaka ana AKILI NJEMA
Utetezi wa kukamatwa kwa sababu za kitandani nitaupinga daimaHuwezi kujua mwamba anapata nini mpaka kufikia maamuzi hayo....Nyumba zina mambo mengi.
Ushalogwa tayariMke na watoto wangu ndio ndugu zangu,mke wangu ndio msiri wangu jambo lolote lazima mke wangu ajue.
Ni udhaifu kufikiria kusalitiwa au kukimbiwa.
Nikipata pesa lazima familia yangu wahusike
[emoji122][emoji122][emoji122]1. Si sahihi, mwanamme ni kichwa cha nyumba, lazima awe na maamuzi yote lkn inapendeza asilimia kubwa amshirikishe mwenza wake karibu kila jambo linalohusu familia yake lakini ajitahidi hoja zake ziwe na nguvu ya ushawishi....mke apewe nafasi ya kushauri na ikiwa ushauri wake ni bora pia uheshimiwe.
2. Endapo, narudia endapo mkeo ana akili njema, anajuua kutunza pesa, sio mfujaji sio mbaya akiwa sehemu ya maamuzi katika kipato chenu...lakini huyu wa jamaa SIO MKE MZURI...Sababu anaonyesha mpenda pesa zaidi ya mapenzi yao, asingetishia kuachana.
Kwangu mpenzi akirogwa anitishie tuachane kisa sijampa pesa, yaani mapema asubuhi ninamwambia awahi haraka aende atakako.
3. Haifai kumshirikisha mke/mpenzi kila kitu cha kazini...ni ufala, jamaa hajakua.
4. Nasemaje????
Sio mbaya kumshirikisha mpenzi/ mke kuhusu mali au pesa lkn make sure wewe ndio unakuwa na nguvu kubwa ya ushawishi wa namna ya kuzitumia au kuendesha miradi naye atii.
Usimfanye mkeo kama kikaragosi yaani asijue kila kitu kuhusu maisha yenu ya uchumi...hilo ni bomu baya litakulipukia baadae...lkn jiridhishe kuwa ni mtu sahihi..
Mimi hutumia kanuni tatu kwa nimpendaye;
1. Comminication ( hapa nahakikisha anakuwa na taarifa muhimu karibu zote lkn zinazohusu hatima yetu kimaisha)
2. Sex ( kumpa haki yake ya kimwili)
3. Money ( ninahakikisha snajua kipato changu)
Kwani mke/mpenzi sio mtumishi wako bali ni mwenza katika maisha hivyo anapaswa kuwa na taarifa muhimu.
Onyo: hakikisha mtu wako ana akili na sio limbukeni kama huyo mke wa jamaa tajwa kwenye uzi.
Kuweni na wake/ mpenzi mwenye akili...fulustopu.
Kwisha habari yake na kuja kusanuka itakua very too late. Wanawake viumbe katili na wabinafsi sana, hawajawahi kuwa wema zaidi ya mama zetu wa kutuzaa!Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.
Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.
Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.
Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!
Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!
Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..
Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...
NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wanaume wenye wake hawana matatizo na wakipata matatizo wote yanatatuliwa na wake zao?Siku ukipata tatizo ndiyo utajua umuhimu wa mke, kuna siku tulikuwa tunajadili hili Baba aliumwa Hosp malipo yakafanyika kabla yakupatiwa tiba yote akafariki, nyumbani pesa hakuna ikabdi mama arudi Hosp kuomba change kaambiwa pesa imerudishwa kwenye simu yake maana alitumia simu kulipa, haya password mama haifahamu wala kadi ya bank kwahiyo inabidi kuweka bakuri msibani, aibu gani hiyo.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Unaandika UTUMBO halafu unataka support? Shit hole!.Nina jumla ya miaka nane katika ndoa zote mbili, bado uchumba hapo sijaesabia. Tuliambiwa tuishi nao kwa akili sana, wazee wetu walikuwa nana vumilia sana na kutunza sili na wamelea sana watoto sio wao sana. Ila shida kizazi chetu hichi ya cha utandawazi ni ngumu sana kujua unalea mtoto sio wako na ukalea. Maisha yamebadilika sana kwa vijana sisi wa sasa