Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

FB_IMG_16938208865966706.jpg
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika...
😞😞😞😞 Another man down

Mimi kabla ya kuoa nilikuwa nasema password ya simu yangu sitomficha mke wangu

Baada ya kuoa akawa ananiletea mambo ya kiwaki, anataka ajue mshahara na matumizi yangu hadi bando

Nikacheka sana 😂😂😂 nikasema kuanzia Leo ndio mwisho wa kushika simu yangu (maana mshahara ukiingia lazima angeona sms ya benk, pamoja na miamala yote ninayofanya kwa simu)

Toka siku hiyo hadi leo hamna mtu anashika simu ya mwenzake.

Na kuhusu kujua pesa ashakata tamaa

MWISHO: Haya mambo hutegemea na unavyoanza kuishi na mwanamke unaanza na msimamo gani

Kuna password tunatonywa humu ila tunazidharau mwisho zinatucost
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu...
Hamjamsaidia bado mtaapisheni alicholishwa
 
Back
Top Bottom