Wanaume tuache kuwa Watumwa kwa wanawake

Ndiyo hivyo mkuu.

Wazungu walikuja kwetu, wakatuonesha vitu vingi tusivyovijua, tukasema uchawi.

Mzungu akipiga muziki kwenye gramafoni, tukasema uchawi.

Mzungu akijua jua litapatwa lini (eclipse) tukasema uchawi.

Wakati yote ni sayansi tu.

Ukimleta mzee aliyefariki miaka 200 ukamuonesha tunavyowasiliana kwenye mtandao, tunavyoruka kwa ndege, atasema ni uchawi.

Sasa, na sisi tunaposema huu ni uchawi, tunajihakikishia vipi ni uchawi kweli, na si mambo ambayo hatuyajui tu?
Hujawahi KUROGWA wewe...

Usingethubutu kusema uchawi haupo...
 
Habari za muda huu wanajamvi!.

Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.

Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba jamaa anaishi na mwanamke mimi bado nakataa ndoa kama ilivyo kauli mbiu yetu.

Ila kitu kinachonishangaza kwa huyu kijana mwenzetu aisee jamaa mwanamke anampelekesha kiasi kwamba jamaa yupo ndo kama kawekwa ndani na huyo dem, jamaa kitu chochote anachomwambia mwanamke lazima amtimizie, mwamba yupo tayari akope hata kwa riba ila sio amwambie mwanamke wake hicho kitu sina au vumilia kwa muda then ntakupatia.

Mbaya zaidi jamaa kila kitu kinachohusiana na job pale huyu mwanamke wake lazima amwambie yani mwanamke wake ni kama tu nae ni staff mwenzetu maana hakuna asichokifaham.

Kinachonishangaza zaidi mwamba hana maamuzi kama mwanaume kwanza kadi ya bank anamiliki dem yani hata mshahara ukitoka jamaa anaenda kuomba hela yakutumia kwa mkewe, hata akitaka kusaidia ndugu yake lazima aende kwa mkewe kueleza hyo shida ya ndugu yake halafu mkewe ndo ataamua kama huyo mtu asaidiwe au lah [emoji34]!

Mwanzoni mwa mwaka huu mwana alichukua loan kama 25M hv dem akamwambia ampe 15M akafungue duka la nguo sasa mm kidogo nikawa nimemjaza mwamba sumu aache uboya hiyo hela afanyie malengo yake kama alivyokuwa ameipangia huwezi amini dem kumbe alivyoona km jamaa anataka kusimamia misimamo mikali tuliyompa mimi na wadau dem akamwambia kama hunipi hiyo hela tuachane, Dah! [emoji119] jamaa alimpa dem 20M ili asiachwe.!! Bad enough nashangaa mshkaji anabembeleza nini wakati dem ni golikipa tu hana mchango wowote kwenye maisha ya jamaa na hawana hata mtoto kwanini asipige chini..!!

Wazee mimi binafsi na washkaji wengine pale ofisini tumejitahidi sana kumsanua mwana aache ufala ila mpaka saizi jitihada zetu zimegonga ukuta tumeamua kumtema andelee na ufala wake wakuwa mtumwa wa mwanamke..

Binafsi nimeamua kuileta hapa nipate maoni kwa wadau tofauti je ni sahihi mwana anavyofanya kwamba ndo mapenzi yeyewe au ni uboya dume lenzetu linaangamia kwa kukosa maarifa...

NAWASILISHA KWENU WAKUU. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeenda tu kwamgangq kumrogq mwanao akusikulize wewe tu inaruhusiwa si kwa nia njema
 
twenty mil whaaaaat?😢😢
 
Kwa experience yangu kwa baadhi ya wanaume wachache wanao fanyiwa hivyo ninao wajua,wake zao wote walikuwa wanagongwa nje kuna wengine walichomoka (sijui walitumia njia gani),ila kuna wengine wapo kwenye ndoa wameikubali ufala.

Ila mwanamke anaye mfanyia hivyo mmewe,100% anagongwa nje huyo jamaa anachapiwa tena huyo fala anaye mchapia hampi hata Senti tano.
 
Ndiyo hivyo mkuu.

Wazungu walikuja kwetu, wakatuonesha vitu vingi tusivyovijua, tukasema uchawi.

Mzungu akipiga muziki kwenye gramafoni, tukasema uchawi.

Mzungu akijua jua litapatwa lini (eclipse) tukasema uchawi.

Wakati yote ni sayansi tu.

Ukimleta mzee aliyefariki miaka 200 umfufue na kumuonesha mambo ya leo, uukamuonesha tunavyowasiliana kwenye mtandao, tunavyoruka kwa ndege, atasema ni uchawi.

Sasa, na sisi tunaposema huu ni uchawi, tunajihakikishia vipi ni uchawi kweli, na si mambo ambayo

Kurogwa ni nini?

Unahakikishaje hapa umerogwa na hapa ni mambo ya chemistry, biology. physics na psychology hujayajua tu unasema umerogwa kwa uvivu na ujinga wako tu?
Hiz story ni zakufikirika tu jf zima uliza kama kuna mtu kwa umri wake alishawah kukutana na jini kma akili akili yake ipo vizur.
 
Nyeto inakufungua macho , kwamba chemchemi ya utamu ipo ndani yako 😀😀
Sio macho tu, mpaka akili. Yaani mwanamke akianza kusema tuachane unamwambia TUACHANE 🤣. Akikublock, na wewe unamblock. Akiomba hela unamwambia SITAKI 🤣. Ile akili ya kiupwiru ndio inafanya mtu ulegee kwa mwanamke kisa na mkasa K au tako kubwa 🤣. Zamani nilikuwa hivyo, ila baada ya kurudi kwenye nyeto, ni mwendo wa kutembeza BLOCK 🤣🤣🤣. Unaona unafanya ufala na ujinga kisa na mkasa K. Pesa unatafuta kwa shida mno, tena pesa ya halali huwa ni NGUMU sana kuipata, halafu unakuja kunipelekeshapelekesha kisa na mkasa K. Bora nikomae na nyeto 🤣🤣🤣🤣
 
Hiz story ni zakufikirika tu jf zima uliza kama kuna mtu kwa umri wake alishawah kukutana na jini kma akili akili yake ipo vizur.
Tatizo nchi zetu changamoto nyingi, watu wengi wana matatizo ya akili ambayo hawajayajua vizuri, wakiweweseka kwa matatizo ya akili yanayoeleweka kabisa, wanakimbilia kusema wamerogwa, wameona majini.

Wakati haya ni matatizo ya akili yanayojulikana kabisa.

Na wajanja wachache hapohapo wanajipatia fursa.

Wewe ona, juzikati Doto Biteko kachaguliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu, watu badala ya kumchunguza kapataje uteuzi, kafanya kazi gani, kaji position vipi mpaka kufika hapo, wanaanza kuuliza mganga wake nani.

Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom