sorry lizzyLizzy, sijui wakikutana hawa watu wawili itakuwaje?
mwanaume suruali, mwanamke sketi!!lol....
bacha unapoteaga sana dont u knw i .........
sorry lizzyLizzy, sijui wakikutana hawa watu wawili itakuwaje?
mwanaume suruali, mwanamke sketi!!lol....
Msisitizo eheeeeKweli sio tabia nzuri wanaume wa tabia hii muache sio tabia nzuri.
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.
Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!
Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
Nikikukopesha 200 unarudisha 400 sawaPovu style TF. Dah nikopeshe mia mbili basi.
Hivi kuna Wanaume Kaptura????Hebu fafanua hii heading.. Wanaume wa hivyo ni wanaume suruali, au wanaume wa hivyo wanatakiwa wabadilike wawe wanaume suruali?
Hivi kuna Wanaume Kaptura????
Kaka kwani ulitaka tuwe wanawake masuruali???:thinking:
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.
Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!
Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
Hivi kuna Wanaume Kaptura????
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa haaaaa Mkuu taratibu mkoloni atanipa notisi kwa ajili ya kuchekaNi aibu sana aisee
btw, hivi kuna wanawake ndevu?
Ukute hata binti wa watu hamjui unasikia pale nimegonga mara yule tayari nimepitia..Ili mradi mbele ya wanaume wenzake aonekane kinara.
Wanaume wa aina hii wanapenda kut********* midomo tu hamna zaidi na kudhalilisha wanawake kwa kuwapakazia uongo.
Nimeshamsuta mmoja mbona alinikoma mbele ya rafiki zake..sikumbakishia hata kidogo mana alikuwa amezidi kuharibu profile za watu makusudi.
Ni aibu sana aisee
btw, hivi kuna wanawake ndevu?
wapo mkuu, vibaka ajabu. wanaiba mpaka used kondom.Ni aibu sana aisee
btw, hivi kuna wanawake ndevu?