Wanaume suruali!

dah! JF bana! yaani mnaishi uswahilini halaf mnataka mkutane na wanaume faifu star? solution ya hii sredi ni fupi sana. "ondokeni uswahilini"
sredi klosed
Hivi kule Tandale kwa Tumbo na Kwa Mtogole au yale maeneo ya Manzese Midizini hakuna mwanaume au mwanamke faivu star??
 
Ukute hata binti wa watu hamjui unasikia pale nimegonga mara yule tayari nimepitia..Ili mradi mbele ya wanaume wenzake aonekane kinara.
Wanaume wa aina hii wanapenda kut********* midomo tu hamna zaidi na kudhalilisha wanawake kwa kuwapakazia uongo.

Nimeshamsuta mmoja mbona alinikoma mbele ya rafiki zake..sikumbakishia hata kidogo mana alikuwa amezidi kuharibu profile za watu makusudi.

Kwani Belinda mtu akisema ameshafanya na wewe mapenzi, ni kukudhalilisha? Mapenzi si kitu kizuri, au?

Hivi wadada katika stori zenu hampeani stori kuwa, 'mwanaume fulani tayari nilishaenda naye', 'boss fulani tulishaenjoy malavidavi', 'yule dereva mtamu sana aisee',n.k? l.o.l
 
Na wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu

Yani wanaboa sana.....
Unakuta anataka aonekane yuko chati kumbe hana lolote!
 
Lizzy pole
yamekukuta ila nakuaminia una mabusara mengi ya kuhandle conflicting matters.

umegenerize kwa kuomba ruhusa hongera, now hawo jamaa wamesoma fani gani nipate raha mie.

Heheheh....we acha tu mpendwa!!
Alafu wakati naanza kuandika hii post akaja nilipo na kuanza kuniambia hajasema chochote maana nilishamuuliza.
 
Hommie nilijua tu baada ya kuona hii comment popote pale ulipo lazima utimbe ahaaa ahaaa mimi najua wanawake fivu star wanapatikana pale TIP TOP l.o.l

Huyu jamaa anataka alete story za watoto wa Oyster bay, Masaki eti ndo faivu star nilijua tu anataka kuelekea huko.

Njoo Tip Top connection uone vitu quality kama meli ya Wahabeshi imemwaga totoz guu guu paja paja kweli.
 
Heheheh....we acha tu mpendwa!!
Alafu wakati naanza kuandika hii post akaja nilipo na kuanza kuniambia hajasema chochote maana nilishamuuliza.
kumbe hili li sredi anapigwa dongo mtu?, dah! mchizi kachemsha! kama member wa JF acha nikamsubirie jukwaa la introduction, atakuja na ID mpya muda si mrefu.
 
Nilipoona taito nilidhani Lizzy kawadamkia kina mario....
Hujambo Lizzy mrembo?

Sijambo x-St...
Mhh hao kina Mario bado kukutana nao!!Leo ni hawa kina maneno!!
 
Na wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu

Teh teh teh utasikia huyo bwawa huyo akivua tu kufuri chumba kizima mbu na buibui wanakimbia hahahaha
 
Heheheh....we acha tu mpendwa!!
Alafu wakati naanza kuandika hii post akaja nilipo na kuanza kuniambia hajasema chochote maana nilishamuuliza.

Lakini Lizzy usimlaumu huyo mshkaji kabla hujamuuliza labda alioteshwa ana kumega sio kosa lake.
 
Lizzy,

Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-

"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????

Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!

It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.

My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it”

Hapo ukitaka kuona mtu anaomba ardhi ipasuke azame; wakutanishe wote then waambie, wewe X umeniambia Y kasema hivi kuhusu mimi. je ni kweli? halafu ondoka zako. kitakacho kuakinaedelea kati ya X na Y, sipati picha!
 
Lizzy,

Hivi wewe umefahamu vipi au una uhakika gani kwamba Mr.X and Mr. Y ndiyo wansambaza haya maneno:-

"..fulani niko nae.."
".. fulani nimetembea nae.."
"..fulani namjua sana kafanya hili na lile.."??????

Kwa taarifa yako tu.. Kama umeambiwa na Mwanaume mwingine (Mr. Z) ku Mr. X or Mr Y anakusema hivi na hivi, fahamu fika kuwa huyo Mr. Z anatumia hiyo kama "gear" ya kukutongoza au kama umeambiwa na Mwanamke (Ms A) fahamu fika kuwa anataka "kukuzibia riziki"!

It is very SAD kwamba Msichana anapokuwa kwenye urafiki wa "kawaida" na Mr.X or Y, Mr. Z na wengineo ambao walishawahi kukataliwa huwa wanajisikia vibaya to the extent ya kuanzisha propaganda kama hizo ulizoziandika, ili mradi tu waharibu regardless. Also kwa wanawake wengine ambao siyo "likeable" kama Ms A, huwa wanajisikia vibaya sana kuona Lizzy anakuwa na urafiki na wanaume regardless.

My Advice: Acha kusikiliza UMBEA wa mtaani, kwa maana hata Papa Paul II aliwahi kusema kuwa "Stupidity is also a gift of God, but one mustn't misuse it”

Mpendwa umeongea point tupu.
Ila mimi sio wakusikiliza maneno ya watu tu na kuyachukua kama yalivyo.Huyo aliyeongea hivyo hii ni mara ya pili kwa style tofauti....mara ya kwanza nilimwambia tu nimesikia hivi na hivi akasema sio kweli ni wivu wa watu nikachagua kumuamini yeye.Ila nilichosikia mara ya pili imebidi nifikirie kwa kina.
Pluss aliyeniambia kusema ukweli sioni sababu ya yeye kudanganya....
 
Hebu fafanua hii heading.. Wanaume wa hivyo ni wanaume suruali, au wanaume wa hivyo wanatakiwa wabadilike wawe wanaume suruali?

Tayari ni wanaume suruali.Yani tabia zao haziwatambulishi kama wanaume....kinachowatambulisha ni suruali tu wanazovaa!!
 
Back
Top Bottom