Wanaume suruali!

kW BAHATI MBAYA SANA NI WENGI WENYE TABIA KAMA HIZI..TATIZO NI KUPENDA SIFA... UJINGA MTUPU...HEBU ACHENI HIZO
 
dah! JF bana! yaani mnaishi uswahilini halaf mnataka mkutane na wanaume faifu star? solution ya hii sredi ni fupi sana. "ondokeni uswahilini"
sredi klosed

...bro, hii haina Uswahilini wala Uzunguni,... baadhi ya wazungu nao wanazo sana hizo "kiss and tell!"
 
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.

Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!

Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!

humu lizzy hawakosekani.
Waache kabisa hayo mamboo yao.
 
Lizzy umesema kweli tupu hawa watu wapo sasa kama na humu JF wamo msg send, na walioko outside JF watumiwe ujumbe. Uanamume wa hivi hauonyeshi urijali kabisa bali ni ujangili wa mida ya watu..:bored:
 
Aisee usiniache kuna jamaa yangu alipigwa marufuku na wife wake kwenda huko Club Continental jamaa akimwambia basi twende wote na yenyewe hataki ahaaa ahaaaa ahaaaa

Hapo jamaa ako mwambie awe anaaga kuwa anaenda Lango la Jiji kwenye mduara.
 
bora umewaambia maana wanabore kwakweli,unajikuta umepangiwa list ya watu hata wengine huwafahamu sijui huwa wanafikiria nini wanaudhi sana sana tena sana Lizzy.
 
wavalishwe khanga hao hawafai kabisa, utakuta dume zima limewakalisha wenzie kitako linaongea upuuzi wa aina hii
 
Back
Top Bottom