Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Unajua hii tabia ikajengeka washikaji kibao kwa wale watoto wagumu kuingilika wakawa wananitumia mm ili kusawazisha mambo nikaona ujinga wenzangu wanafaidi mm kazi kumeza mate aaah wapi nikawa nalainisha njia kwanza mm kisha namwita aanze upya kutongoza.
Fidel mbavu zangu
kwa hiyo we hodari wa kutongoza unakwenda peku maana ni wengi hao