Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wakiwa kazini tena wanarushwa live kwenye TV. WWE au TNA Wrestling
Sasa kama wako kazini na ndiyo dressing code yao utawafanyaje?

Wale ni sawa na watunisha misuli lazima waoneshe namna miili yao imejijenga. Hawawezi kuvaa baibui wala kanzu.
 
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
kaptula
 
Ase si bora hata hao wanaovaa vikaptula sijui boxer, mimi nikivaa suruali nzito kama jinsi au kadate huwaga sivaagi chochote ndani naacha kitu kinaning'inia kama kengele na hata kikisimama kinasisima wa uhuru, niliacha kuvaa chupi baada ya kubalehe maana kitu kikisima nikua naumia sana
 
Kusimamisha kipumbafu pumbafu bila 'promiss' ni laana inayopelekea mwisho mbaya kwa maisha ya mwanaume.

Urijali siyo kudindisha ovyo ovyo, bali ni ukamilifu wa uanaume, siyo matumizi ya uume.

Mmliki wa bunduki hawezi 'kuilizaliza' bila mpango eti ilimradi aonekane anamiliki silaha!

Mambo yote yaliyoambatatishwa na utashi katika maumbile ya binadamu yanastahili kutumika kwa uamzi sahihi, vinginevyo utaishia jela na kujuta maisha yako yote.

Unasema boxer!

Je mababu zako enzi kabla ya wazungu kufika barani Afrika, vuta picha namna ambavyo walikuwa wanajistiri, kulikuwa na chupi ya kuzibania?

Hizi topic zenu za kichokonozi hizi!
Hiiiiiii!

Sent using Jamii Forums mobile app
yeeee nsumba ntare yashikaga gete! hiiiiiiiiiiii!

@shimbayabuyenze
Ushimen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo against na usemacho na nahisi utakua ni Jiansia KE ndio mana hujui ulisemalo..Mwanaume akivaa chupi ikatokea akasimamisha bila kutarajia myb yupo kwenye mishe mishe kama kavaa chupi then amekaa kitako akisimama kuna posibility ya kuaibika kwani Uume unaweza kutokeza kwa pembeni tofauti na boksa itamaintain ndani kwa ndani pili chupi aise hapana tunaona wadada zinavyo wabamba makalioni wengine ndo washafanya fasheni walio shindwa fasheni kila dakika tano utamona na kidole kama sio mkono matakani anaichomoa chomoa..

Alafu kwa wanawake chupi ni muhimu kwani inabania Pedi ivyo kuwezesha mambo kwenda sawa akiwa zamu...

Icho ulicho ona sio kaptura ni Boxa zipo za aina nyingi tu acha ushamba avae kaptura si ataibika

Nadhani umechanganya chupi za kiume na kike, chupi za kiume hufunika makalio yote na mbele pia, huwa zina joint pana inayopita katikati ya mapaja inayosaidia kuhifadhi vyema furushi la kiume.

Chupi za kike ndizo kuna zinazofunika na zingine hazifuniki makalio na zina joint nyembambaa katikati. Hizo ndizo huwapa tabu ya kuzivuta vuta kila wakati.

Mie ni mtumiaji mkubwa wa chupi, hizo boxer pumbu zinaning'inia mpaka naumwa. Zimenishinda kabisa
 
Ni kweli km JAMAA yupo vizuri unaweza kupata aibu ukiwa na boxer, maana utashangaa kitu kimechomoza tu. Lakini kama umepiga chupi, unampindisha tu kwa pembeni anatulia. Zamani kulikuwa na chupi zile VIPI,zilikuwa zinasaidia.....
 
Kitendo cha kutuna mbo.o ikiwa kwenye chupi mara kwa mara inapindisha mbo.o kwa sisi wenye mbo.o kubwa.ndo maana tuna opt boxer.
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani umechanganya chupi za kiume na kike, chupi za kiume hufunika makalio yote na mbele pia, huwa zina joint pana inayopita katikati ya mapaja inayosaidia kuhifadhi vyema furushi la kiume.

Chupi za kike ndizo kuna zinazofunika na zingine hazifuniki makalio na zina joint nyembambaa katikati. Hizo ndizo huwapa tabu ya kuzivuta vuta kila wakati.

Mie ni mtumiaji mkubwa wa chupi, hizo boxer pumbu zinaning'inia mpaka naumwa. Zimenishinda kabisa
Chupi ni Chupi tu
 
Navaa boxer za kubana maana anytime mashine yangu inasimama, nikivaa kaptura au boxer loose nitaaibika.

Nasimamisha popote, iwe kwenya gari,iwe kwenye vikao vya ofisi, niwe hata kwenye presentation nasimamisha tu sasa nikivaa kaptura itakua aibu ya mwaka.

Enzi zile nasali nilikua nasimamisha muda wote kanisani, kwenye ibada mashine iko na 5G.

[emoji23][emoji23][emoji23]chaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom