wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,590
- 29,490
Huku mwisho mwisho naweza amini ndio maana mguu wangu mdogo umepindia kushoto.
Hivi kuna madhara yoyote?
Hivi kuna madhara yoyote?
Kwani kuna shida gani ukisimamisha ukiwa na boxer? Lengo la chupi ni kubana taulo za kike sasa wewe mwanaume unavaa chupi ili iweje.
Tunahama na muda, hizi ni zama za boxer na hizo chupi zimepindisha sana mguu mdogo.