Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna shida gani ukisimamisha ukiwa na boxer? Lengo la chupi ni kubana taulo za kike sasa wewe mwanaume unavaa chupi ili iweje.

Tunahama na muda, hizi ni zama za boxer na hizo chupi zimepindisha sana mguu mdogo.
 
na chupi zinasababisha mguu wa katikati usikue vizuri...ujue mguu wa kati ni kama mmea unahitaji mwanga..maji na carbondioxide kwa mbali ili ukue...sayansi ya darasa la tatu unashindwa kuitumia kweli kwenye ukuaji wa mguu wa tatu..!!??? a.k.a abdala kichwa wazi
 
Kwani kuna shida gani ukisimamisha ukiwa na boxer? L
😁 😁 😁 😁
Acha masihara wewe, udindishe ndani ya Boxer?
yaani utembee nyuma kumetuna mbele kumetuna?

watoto wa mtaani watakushangilia sana na utakuwa maarufu ajili ya hilo, labda kwa wale wenye vibamia sawa! kata simama weeee! katajikatia tamaa humohumo!

lkn mguu wa mtooto! funga kamab kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Inyooke kwani unachorea mstari?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navaa boxer za kubana maana anytime mashine yangu inasimama, nikivaa kaptura au boxer loose nitaaibika.

Nasimamisha popote, iwe kwenya gari,iwe kwenye vikao vya ofisi, niwe hata kwenye presentation nasimamisha tu sasa nikivaa kaptura itakua aibu ya mwaka.

Enzi zile nasali nilikua nasimamisha muda wote kanisani, kwenye ibada mashine iko na 5G.
 
Hahahaha nimecheka kwa sauti kubwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Acha masihara wewe, udindishe ndani ya Boxer?
yaani utembee nyuma kumetuna mbele kumetuna?

watoto wa mtaani watakushangilia sana na utakuwa maarufu ajili ya hilo, labda kwa wale wenye vibamia sawa! kata simama weeee! katajikatia tamaa humohumo!

lkn mguu wa mtooto! funga kamab kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo against na usemacho na nahisi utakua ni Jiansia KE ndio mana hujui ulisemalo..Mwanaume akivaa chupi ikatokea akasimamisha bila kutarajia myb yupo kwenye mishe mishe kama kavaa chupi then amekaa kitako akisimama kuna posibility ya kuaibika kwani Uume unaweza kutokeza kwa pembeni tofauti na boksa itamaintain ndani kwa ndani pili chupi aise hapana tunaona wadada zinavyo wabamba makalioni wengine ndo washafanya fasheni walio shindwa fasheni kila dakika tano utamona na kidole kama sio mkono matakani anaichomoa chomoa..

Alafu kwa wanawake chupi ni muhimu kwani inabania Pedi ivyo kuwezesha mambo kwenda sawa akiwa zamu...

Icho ulicho ona sio kaptura ni Boxa zipo za aina nyingi tu acha ushamba avae kaptura si ataibika
 
Niliacha kuvaa chupi tangu enzi za chupi aina ya VIP.

Boxer zinanifanya nakuwa comfort, Zakhara ikisimama nikiwa natembea huwa naingiza mkono mfukoni ili wapita njia wasione.

Juzi niliona toleo zuri la chupi nikanunua, nimeshindwa kabisa kuvaa, yaani Zakhari yangu inaumia sana kwahiyo naishia kurudi kwenye boxer ambapo zinaniacha huru sana.
 
Wewe ukiona kijana wa kiume anasimamisha simamisha hovyo mchana wa jua kali hicho sio kipimo cha urijali bali hizo ni dalili tosha za mtu asiye na majukumu na hawazi chochote kuhusu maisha yake na familia yake..

Huko zamani unafikiri hali ya maisha ilikuwa kama sasa ada kichwa kimoja 2mil kwa mwaka ukiwa na watatu unaongelea 6mil, nani kakwambia zamani kuna nyumbani zinapangishwa kwa hela nyingi kama sasa?, nani kakwambia zamani ukiumwa ulikuwa unakwenda private hospitals? Nani kakwambia zamani kulikuwa na HIV, Kansa, na Kisukari kama sasa??? Dunia ya sasa inachangamoto nyingi sana zinazofanya vichwa vipate moto si kama hizo zamani uisemayo ambayo life have got no stress..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom