Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo.


Chupi kwa wanaume zilisitishwa pale Mhogomchungu alipoamka kwa dharura ya msiba na kuvaa chupi ya mchepuko na kukimbia kwenda kwenye tukio.
 
Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo.


Chupi kwa wanaume zilisitishwa pale Mhogomchungu alipoamka kwa dharura ya msiba na kuvaa chupi ya mchepuko na kukimbia kwenda kwenye tukio.
 
Hivi ukilinganisha boxer na chupi ipi inaweza mpiga jamaa kabari ili asionekane? Kwangu mm naona boxer inamzuia jamaa vizuri tena bila kumuumiza ila chupi kama jamaa ni mkubwa mkubwa hivi anakurupuka vizuri kwa pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]chaaa
Hakika, mashine yangu signal zake ziko juu balaa. Nasimamisha kila muda, wakati mwingine nachukia hii hali ila wakati mwingine nafurahia maana mashine kua hai muda wote ni jambo jema sana.
 
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆
 
Babu zetu kabla ya kuingia whites men walikuwa hawavai hata hiyo kaptura ila walikuwa poa... Sasa baada ya mabadiliko ya teknolojia ndio hivi tena watu wanavaa chupi wengine boxer kama ilivyo kwa dada zetu wengine wanavaa bikini wengine hawavai kabisa kyupi na maisha yanaendelea.

Hivyo mkuu mtoa mada usitake kudharau watu kwa kuhisi kuwa wanaovaa boxer labda wanaupungufu katika nguvu za dushe la hasha bali ni mahitaji tu ya mtu husika avae na nini na katika mazingira gani.
 
na chupi zinasababisha mguu wa katikati usikue vizuri...ujue mguu wa kati ni kama mmea unahitaji mwanga..maji na carbondioxide kwa mbali ili ukue...sayansi ya darasa la tatu unashindwa kuitumia kweli kwenye ukuaji wa mguu wa tatu..!!??? a.k.a abdala kichwa wazi
Dah sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hizo chupi mnazinunua wapi??

Vibabu utavijua tu
 
Hakika, mashine yangu signal zake ziko juu balaa. Nasimamisha kila muda, wakati mwingine nachukia hii hali ila wakati mwingine nafurahia maana mashine kua hai muda wote ni jambo jema sana.

yaah mashine kua hai n jambo jema mnooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom