Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wewe ukiona kijana wa kiume anasimamisha simamisha hovyo mchana wa jua kali hicho sio kipimo cha urijali bali hizo ni dalili tosha za mtu asiye na majukumu na hawazi chochote kuhusu maisha yake na familia yake..

Huko zamani unafikiri hali ya maisha ilikuwa kama sasa ada kichwa kimoja 2mil kwa mwaka ukiwa na watatu unaongelea 6mil, nani kakwambia zamani kuna nyumbani zinapangishwa kwa hela nyingi kama sasa?, nani kakwambia zamani ukiumwa ulikuwa unakwenda private hospitals? Nani kakwambia zamani kulikuwa na HIV, Kansa, na Kisukari kama sasa??? Dunia ya sasa inachangamoto nyingi sana zinazofanya vichwa vipate moto si kama hizo zamani uisemayo ambayo life have got no stress..

Mie hata mwanaume anayetaka sex kila siku mie najiulizaga sana ni mzima?machangamoto yote haya ya maisha unataka dudu daily??😏😏
 
Boxer in faida kubwa sana. Kwanza inaingiza hewa pote tofauti na chupi. Pili inaepusha magonjwa kama fangasi ambapo ukivaa chupi umebana pote.
 
Kuvaa chupi au Boxer ni highly misuse of resources na utahitajika kulipa pa kubwa! Please muache Mara moja kuvaa.

Pila kibailojia ni vibaya maana hizi sehemu za chini zinatakiwa kupata ubaridi flani hivi amazing! Sasa ukizifunga sana utaishia kupiga kimoko kama Jogoo wa shamba, Happy Noel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok kwahiyo chupi na boxer zote wewe zanini kuvaa pamoja najua utasema sijui ukisimamisha inamaana sisi tunaovaa boxer tu hatusimamishi.

Nikwambie ndonga ikisimama huwezi idhibiti na kuidhibiti tunachofanya sisi wanaume ni kwenda na muktadha husika na si kujishindilia Michupi ndani nakujiumiza wewe kwa umanaume wako Distance ya kutoka kwenye Penis mpaka kwenye kitambaa (space ya chupi) inatosha kwa ndoga ya mwanaume aliyekamilika kweli ikiwa ijasimama tu shida ikisimama ndio haieezekenia kabisa unaifanyaga vipi unaipindia nyuma au inabidi utueleze.

Jifunze kudjibitibiti mashine Cheaf sio kuvaa Chupi watakwita sh...

1)ukiwa njiani imesimama weka mkono kwenye mfuko wa kushoto ishike ukiiwa umedhibiti isicheze
2)ukiwa ofisini ukisimama kaa kwenye kiti chako tu ikiwa umesimama fanya njia namba moja

Mwanaume aliyekamilika havai chupi haikuingii matakoni kilasaa.

NDONGA YA MWANAUME ALYEKAMILIKA HAIWEZI KAA NDANI YA SPACE NDOGO YA CHUPI NA ENDAPO ITAKAA UTATESEKA SANA unless uwe mtoto ila hata kipindi kile tupo watoto chupi ilikuwa haiwezi kuimili ndonga.
Navaa mchanganyiko wa chupi za kiume na boxer tight na sio zile bukta za draft . Zile huwa navaa usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app

Madam Nchi Kavu je kuna tatitzo huko nyumbani? Je unahitaji msaada wowote wa kiroho dhidi ya tatizo lako?

Ahsante
 
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatusimamishi ovyo kwani "misisimuko' hakuna tena. Kama mipaja,matiti na makalio ya wanawake yapo nje nje muda wote "surprise' itoke wapi? Nyeti za wanawake siku hizi ni sawa na pua/macho. Unaweze dindisha kwa kuona pua kubwa?
 
Yaani vijana Wa siku hizi mnadadisi mambo ya kipumbavu kabisa .
Ww Mawazo yako kama Mawazo ya nguchiro tu..

Hebu muulize babu yako au kama aliwahi kuvaa chupi na uulize nayeye hakuwa rijali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie hata mwanaume anayetaka sex kila siku mie najiulizaga sana ni mzima?machangamoto yote haya ya maisha unataka dudu daily??😏😏

Inategemeana my dear! Kuna baadhi ya wanaume tuna dudu tamu zaidi ya asali, hivyo utajikuta mwenyewe tu unaiomba kila siku. 🚶🚶
 
Hatusimamishi ovyo kwani "misisimuko' hakuna tena. Kama mipaja,matiti na makalio ya wanawake yapo nje nje muda wote "surprise' itoke wapi? Nyeti za wanawake siku hizi ni sawa na pua/macho. Unaweze dindisha kwa kuona pua kubwa?

Mhhh! 🙊
 
Huu mjadala hauna tofauti na ule wa mashabiki wa Simba na Yanga, Man U vs Liverpool, ccm vs chadema, nk. Hivyo kila mtu achague/aendelee na utaratibu anao upenda! Na ikitokea ukashawishika, basi ni jambo zuri pia.

Mimi kwa upande wangu ni ngumu kuacha kutumia chupi na bukta juu na baadae kufuatiwa na suruali! Na utaratibu huu niliuanza kitambo tangu nilipokuwa mtoto. Nimejaribu kutumia hizo boxer za khaki, nimechemka!
 
Kuvaa chupi au Boxer ni highly misuse of resources na utahitajika kulipa pa kubwa! Please muache Mara moja kuvaa.

Pila kibailojia ni vibaya maana hizi sehemu za chini zinatakiwa kupata ubaridi flani hivi amazing! Sasa ukizifunga sana utaishia kupiga kimoko kama Jogoo wa shamba, Happy Noel

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni nadharia tu! Sidhani kama ina ukweli wowote ule. Watu tunavaa chupi za kubana ili kujihami dhidi ya zile ajali za kushtukiza! Na pia tukiwa shambani, tunalima vizuri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom