Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

Wanaume siku hizi wanavaa kaptura ndani

shida ya izi bukta ham bani asumani pindi mtandao umepanda ghafla, hca moto lazima ukione
 
Hatusimamishi ovyo kwani "misisimuko' hakuna tena. Kama mipaja,matiti na makalio ya wanawake yapo nje nje muda wote "surprise' itoke wapi? Nyeti za wanawake siku hizi ni sawa na pua/macho. Unaweze dindisha kwa kuona pua kubwa?
Uko sahihi , mwanamke anapomzoesha mwanaume kumvalia nusu uchi hata kama ni zuri vipi kuna kipindi machoni atazoeleka na kumuathiri mlaji.
Kuvaa hovyo kwa wanawake kumechangia sana wanaume washibe na wasivutiwe sana na wanavyoviona
Hivyo boxer si kipimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusimamisha kipumbafu pumbafu bila 'promiss' ni laana inayopelekea mwisho mbaya kwa maisha ya mwanaume.

Urijali siyo kudindisha ovyo ovyo, bali ni ukamilifu wa uanaume, siyo matumizi ya uume.

Mmliki wa bunduki hawezi 'kuilizaliza' bila mpango eti ilimradi aonekane anamiliki silaha!

Mambo yote yaliyoambatatishwa na utashi katika maumbile ya binadamu yanastahili kutumika kwa uamzi sahihi, vinginevyo utaishia jela na kujuta maisha yako yote.

Unasema boxer!

Je mababu zako enzi kabla ya wazungu kufika barani Afrika, vuta picha namna ambavyo walikuwa wanajistiri, kulikuwa na chupi ya kuzibania?

Hizi topic zenu za kichokonozi hizi!
Hiiiiiii!

Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣🤣nhiiiii neyo na shigukulu sheneshi hiiiiii🤣🤣salute bro
 
kwakweli ulichokiongea ni kweli hua napata tabu sana dushe ikinidindia halafu iwe sio sehemu muafaka... BUT ALL IN ALL KWANGU CHUPI NI MWIKO, NARUDIA TENA MWIKO.
Ukiona hali mbaya weka mikono mfukoni😂😂😂😂.......ila kusimamisha simamisha nao ni ugonjwa
 
Sio ajabu kwamba zama zimebadilika. Leo kwa mwanaume hutasikia sana neno chupi. Utasikia boxer. Chupi ni za wanawake. Kabla ya hapo chupi zilikuwa ni za wote sema zilitofautiana muundo. Tunajua kwa nini wanaume walivaa/wanavaa chupi? Na kwa nini leo wanavaa boxer/kaptura? Ukweli ni kwamba urijali umepungua kama si kutoweka. Chupi ilitumika kama kabali pale jamaa anapojitutumua. Na ilisaidia sana maana alidhibitiwa asionekane njiani, au kwenye usafiri.

Leo mwanaume anaweza kupitisha saa 24 bila kusimamisha. Kwa nini asivae kaptura tu huyo? Mwanaume rijali asifuate mkumbo wa kuvaa hizo kaptura. Pengine avae akiwa kwake kapumzika. Ukweli ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka tuvae taulo ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilipo nimeamua kutovaa nguo ya ndani. Na leo Niko mishe zangu town bahati mbaya nimekutana na mdada mrembo mwenye kalio la maana.

Ile kupiga macho kwa mkalio,mringoti ukasimama mbele ya watu.

Ikabidi nikae chini kujifanya nimejikwaa kidole gumba huku nikihamishia mawazo yangu kwenye ada ya mwanangu mwezi January!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Ulifanikiwa kuumudu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza kwa majumuisho ya comments zote za wadada kwenye thread hii, ni kwamba wanafanana mitizamo na misimamo yao!

Hawa wote ukikutana nao, usijitie ujuaji wa kimfumo dume! Kama ni kidume kuwa mpole, tena upole wa kitakatifu, ndiyo unaweza 'ukala nao sahani moja', vinginevyo hamna kitu! Dah!

Hawa ukitumia silaha ya kumwangalia usoni ili umwinamishe yeye ashushe, utakuwa umekosea, watakupiga 'direct glance' hadi ushushe wewe, ama ujibaraguze kutazama pembeni!

Wanatufahamu wanaume na madhaifu yetu yote, tena kwa kutuchambua kama wapo kwenye somo la 'elimu ya viumbe'!

Na ujasiri huu wa 'piga nakupiga' wameutoa wapi leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wacheza mieleka kama Randy Orton, Fin Balor, Revival na wengine wanavaa chupi?
Kwani kuna shida gani ukisimamisha ukiwa na boxer? Lengo la chupi ni kubana taulo za kike sasa wewe mwanaume unavaa chupi ili iweje.

Tunahama na muda, hizi ni zama za boxer na hizo chupi zimepindisha sana mguu mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom