Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

hahaaaaaaaaaaaa pole sanaaa mkuuuu
natamanii wanyweeeee kvant ama pombe kalii nipigie nije hio game utanipenda

huku kwetu walikuwa ukinunua kvant ndogo haoo bora waombe bia wanakuja na kikombe
wakantesaga sanaaa nkaona isiwe tabu....

nikacheza dili na mhudumu bahati wengi wanapenda kuchanganya...nkanunua dulucolax za 4000 nkasagaa ..hizi na za kuharisha aka kusafisha tumbo...nkanunua energy nne ,,akafungua counter akazichanganya na dulucolax...nkamweka sawa nikiagiza yangu toa karatasi ya pemben haikuchanganywa ...wakaona zilizofwata wala sikteseka hamida wape energy weka kwa bill pemben kuna kvant kubwaa

chooooo kilikuwa foleni ya mwendokasi ndugu wakakimbilia kwao kuharisha nikabaki na jamaa nami nikaabidi niunge naumwa wasije hisi mbona pombe moja anaenunua haarishi

kesho kutwa yake nikiagiza hata dompo wanaambiana aisee yule sioo mtu...

yaan niliwaza nihame pub ama lah nkaona kwa pesa yangu no wacha niwap uamuzi waniogope ama waendelee kuomba.........

hili lla beer kipengele wapotezee na kingine hawa mpaka wanaomba mara kwa mara tuliwazoesha enzi hizo tukiwa poa sasa wakikuona bar wanajua bado unaingia n laki kumbe gawa kwa 20..........
Mzee Pdidy umetisha mkuu, ingawaje nimepata tabu sana kuelewa huu mwandiko wako.
 
Aisee Ni Janga

Huku Kijitonyama ni wengi hatari mikocheni afadhali kidogo….mi ndio maana kwenye bar / liquor store sipendi mazoea / ushkaj na mtu ambae hata kimuonekano unaona kabisa kapuku huyu….kazi kuomba omba tu.

Asa mtu hata kununua beer 5 huwezi what life information and challenge can u offer me ??

YES kuna watu tunalewa nao huoni taabu kumtia hata beer 5 cz wao pia kuna nyakati zingine wana sort so lazima na wewe someday ulipe fadhila……hivyo yani. Nishawahi kuwa liquor store moja mikocheni nikawalipia beer some friends za kama 120k hivi tena wala sikuwaza cz nikiwa nao at tyms wanapiga sana round za beer hivyo cz ni ushkaji wenye tija na maongezi nikiwa nao ni quality talks the same issue kwenye mambo ya pork…..

Mtu kama bar haezi afford hata 10k ya beer kadhaa sio mwana huyo kataa kabisa mazoea.

Mtu umevuta bucket 2 za washkaj unashangaa linakuja punga moja huko linakuja kuchukua tu afu unajua kabisa punga hili halijawahi changia bill hata siku moja.

Kuna mmoja nishai mtolea uvivu wana wakawa wanachekea pembeni bora nikuchane ubadilike ili ujue kupambania starehe zako.
Kuna mijitu ni ya hovyo sana aisee..

Mwanaume mzima unagongeagongea pombe Bar.
 
Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.

Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!

Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.

Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.

Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂

Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
hawaaaaa wa beer fanya hiviiiiii
msomeshe mhudumuu kila mtu ana jilipia wakijaaa weee waambiee agiza akimalozaaa mwambie agiza yaani aagize tu ita pik pk msomeshe mhudumu unarud kulipa......anza wakisema nyooo waambie mhudmu dai hela yakooo hapo
anza haki hawatakusahaau hii mwakajuzi nilinyoosha wajinga moshi tena ndygu..kajua umetoka dar kuwalewesha weee nilienda chooni nkazima na simu nkatokea mlango wa pili....awakunipigia mpaka naondoka......wanakuntwa beer 4 saf kubwa wako 3 nusu haijaisha nkajua hiii mimba

walilipa

onyoooooo
MWOSHAAAA HuOSHWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Ukifanya hivi na wewe usithubutu kuomba utakutana na dhaama huwa wanaambana hawa
 
hahaaaaaaaaaaaa pole sanaaa mkuuuu
natamanii wanyweeeee kvant ama pombe kalii nipigie nije hio game utanipenda

huku kwetu walikuwa ukinunua kvant ndogo haoo bora waombe bia wanakuja na kikombe
wakantesaga sanaaa nkaona isiwe tabu....

nikacheza dili na mhudumu bahati wengi wanapenda kuchanganya...nkanunua dulucolax za 4000 nkasagaa ..hizi na za kuharisha aka kusafisha tumbo...nkanunua energy nne ,,akafungua counter akazichanganya na dulucolax...nkamweka sawa nikiagiza yangu toa karatasi ya pemben haikuchanganywa ...wakaona zilizofwata wala sikteseka hamida wape energy weka kwa bill pemben kuna kvant kubwaa

chooooo kilikuwa foleni ya mwendokasi ndugu wakakimbilia kwao kuharisha nikabaki na jamaa nami nikaabidi niunge naumwa wasije hisi mbona pombe moja anaenunua haarishi

kesho kutwa yake nikiagiza hata dompo wanaambiana aisee yule sioo mtu...

yaan niliwaza nihame pub ama lah nkaona kwa pesa yangu no wacha niwap uamuzi waniogope ama waendelee kuomba.........

hili lla beer kipengele wapotezee na kingine hawa mpaka wanaomba mara kwa mara tuliwazoesha enzi hizo tukiwa poa sasa wakikuona bar wanajua bado unaingia n laki kumbe gawa kwa 20..........
Nimechekaaa hadi machoziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilienda bar weekend nikawakuta washkaji wawili wako na madem zao wakaniita njoo ukae hapa. Sikujua lengo lao, mi nikaagiza bia yangu moja nikajiunga kikao. Nikaona wanaongea wenyewe sauti ya chini wakaanza kunimaind. Ikawa wtf, mmekuja na madem zenu bar mtajijua wenyewe, tusitake kuharibiana bajeti hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko bar mbna mnakutana na visangaa sanaa, woiiiih
 
Mkuuuuuuu yaaani hii dhambi najaribu k kuiacha inanishikiliaaaa wale wa 1999
PUGU BOYS SEC
MAPINDUZI BWENI Wananikumbuuuukaaaaaaa
nilikuwa natoka home na pilauuu na nyama nikichelewa naelekea kusali jion kwanza kurudi nakuta nduugu contziner 4 ziko safi yaan n kama vile walikula na wengine wanaangaliaa nje wakamaliza wakasafisha wakardsiha kama ilivyo dah ..aisee walonchezea hivi mara mbili ya tatuuuuu niliwa panga vyoooni mbwa walee kama sina akili nzuriiii na nkaenda kanisan kusali kurudi nakutaa wanaulizanaa br tokaa banaa tokaaa bana duh nilienda preple nkaomba kulala kwa jamaa hasira ziishe asbh ni story jaman yulr jamaa msiguse chakula chake katupanga folen wengine wakakimbilia vyoo vingine ...hii ya pombe niliwa piga apr mwaka huu ...uzuri natubu sikuhio hio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Shidaaaaa ya hiiiiii ukiwafanyia hata siku unapewa beer na mtu bar mwambie zinatosha ahsante yaan wanaweza mtumia mmoja tu sikuhio na beer ya kwanza tu ukashangaa kama unagari nje unaita bajaji ya haraka uelekee hospt...sijui umeepewa offa utazikwa
 
Kuna mijitu ni ya hovyo sana aisee..

Mwanaume mzima unagongeagongea pombe Bar.
dammy
ujakutana naoo jamaa kama wana hirizi unatoka job kabisa unasema leoo simnunulii mtu wakikuona wanakuangalia ukiwaangalia umeisha wanaanza chooni kwanza wakirudi wanafikia meza uliopo yaan .....unatoaaa ndugu ...kama chum ULETE
 
kuhaniii musa kaikemea sanaa leooo rohoo ya wamediaan yaan wanakufanya maskini waoo n kuhakikisha kilichopo mfukoni kinaishaa hatareeeeee washindweeeeeeee
sema amina ya radiiii.....
 
Kuna wengine niliwazungushia maraundi Msasani kule, akaja demu nikamtamani walimfukuza kama mbwa. Wakaniambia ukimwi tu ule. Waliona nikichukua demu ofa zimeisha. Mpaka kesho nasikitika kwasababu yule mtoto alikuwa mzuri nikamkosa hivihivi kwasababu ya hawa watu na tamaa zao za pombe.
 
ningewajibu bora ukimwi kuliko Gono..nus saa sindano inkakuhusu.....
 
hutaki chawaa mkuu haaahaaaa
wanajua kusifiaaa waonjeshee hata smart gin yaan watamsifi a mpaka mzazi wako hata kama marehemu...
hutaki chawaa mkuu haaahaaaa
wanajua kusifiaaa waonjeshee hata smart gin yaan watamsifi a mpaka mzazi wako hata kama marehemu...
Sifa kibao wanamwaga bila hiyana, ukizubaa kwa kupewa sifa unaweza kufunguka kreti la bia 😄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom