Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Jitafakari sana huu mtazamo wako, mwanaume hadi mzoa taka ana umuhimu wake.

ipo misaada naweza kutoa kwa mwanaume mwenzangu sio kumnunulia bia tena aje bar kabisa aniombe bia.

Natoa michongo ya kutafuta hela kwa mwanaume mwenzangu, boda mwanaume mwenzangu akinibeba namlipa zaidi ya alichodai, mwana ana njaa kitaa anahitaji msosi nitamlipia msosi ale SIO BAR NIKUKUTE UNAOMBA BIA...
 
Tatizo menu kuna vitu vingi hamvijui, rafiki yangu Mungu jina kampuni enzi za Sheraton hotel alinifundisha namna ya kuzamia minuso ya ubalozi wa nchi za zao.

Kanuni ya kwanza lazima uwe na suti six button na ukishuka kwenye gari mlangoni unatembea kwa speed kama mtu ambaye yupo nyuma ya wakati mlangoni huwezi kuulizwa kadi hatabsiku moja.

Yule jamaa yangu tumeshazamia sherehe zao pale Sheraton hotel bila kadi na mpaka vijiko vile executive alikuwa akikipenda kijiko anaiba, ndio Mara ya kwanza nazijuwa tabia za wazungu kama vile wabongo wanaovyoiba mataulo ya hotelini.
Hii yako. Noma sana mkuu
 
ipo misaada naweza kutoa kwa mwanaume mwenzangu sio kumnunulia bia tena aje bar kabisa aniombe bia.

Natoa michongo ya kutafuta hela kwa mwanaume mwenzangu, boda mwanaume mwenzangu akinibeba namlipa zaidi ya alichodai, mwana ana njaa kitaa anahitaji msosi nitamlipia msosi ale SIO BAR NIKUKUTE UNAOMBA BIA...
Wewe bado hujafikia kutowa msaada, bado unahitaji msaada.

Utajili au kuwa na maisha bora kunaanzia rohoni kwanza.

Maandishi ya mtu yanaongea yenyewe.
 
Mimi kuna mshkaji Huwa tunapiga naye stori tulikutana mazingira ya bar na niliwahi mara moja tu kumnunulia bia maana Huwa simzingatii kiviiile.

Kuna siku nilipata tatizo vibaka bado kidogo wachukue vichenji vyangu na simu yangu jamaa akaja kunisave na wale jamaa wanamjua na wanamuogopa sana mchizi alinipa eskoti mpaka ninapoenda nikamganjia elfu 2 ya Asante
 
Kuna mtu jana kaja humu analialia demu wake anampuna sana.
Iyo kazi kwake msiende kujitutumua.kwq demu

Mimi kuna sister tulikuwa tumezoeana.sana alikuwa ameolewa sasa mumewe alikuwa mbali mkoa akatokea mwalimu wa chuo kajishobekesha akawa anachunwa sana



Sasa kuna siku alikuwa anaenda kwa mumewe akamuba lak3 akaniagiza nikachukue raba GSM kipindi iko nafanya kazi posta nakuchukua raba pr4 alilipia laki tatu na nusu kuja kumpelekea akawa anajisemesha hizi raba nampelekea mumewangu kesho naenda mkoa likizo nikamuuliza pesa umetoa wapi si ulisema huna pesa akajibu yule bwege wa kipale nilimuomba pesa ndio katuma na ata ivyo hapo viatu si bei imezid ngoja nimwambie nimeongezea hela ya kula sina akapigwa tena laki 2

Wanaume shtuken
 
Mimi wanaume wanaoomba bia bar hawaniumizi kichwa sababu naweka faru Joni hapo na maji kazi inaendelea, shida yangu Mimi napenda sana kunywa kwenye vi premises vidogo vidogo na unakuta vingi ni vinamilikiwa na hawa mabibie Sasa hawa changamoto Yao kubwa atataka muende sawa ukiagiza bia 2 nayeye umuagizie na mind you ili afanye biashara lazima akomae na tenda ndogo ndogo yani nayeye awe mnywaji au mteja. Mixer kurudisha change kwao ni msamiati mgumu atatafuta visababu ili mradi uache change kesho ukiirudia circle inaendelea, Sasa dawa Mimi namkula naendelea pub nyingine woiiii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom