Quod Nocet Saepe Docet
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,944
- 17,268
Be very careful about them, because not all people who are begging in the restaurants, bars and liquor stores are the 'real beggers'. Others are there for the special duties or for the specific missions. Be more cautious if one or more of them just take the sit near you or next to you., "THE SNAKES IN SUITS".Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.
Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!
Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.
Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.
Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂
Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
Wa-Congoman wana Kiswahili chao, wanasema " akili kumkichwa".





