Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Kuna jamaa pale picnic Arusha Huwa anajidai mlemavu anapita kuomba omba. Badae ukimfuatilia utakuta ni mtu mzima kabisa anaenda kasehemu kujificha na kuanza kuhesabu makusanyo ya siku husika na kucheka Kwa kebehi
 
Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.

Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!

Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.

Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.

Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂

Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
hahaaaaaaaaaaaa pole sanaaa mkuuuu
natamanii wanyweeeee kvant ama pombe kalii nipigie nije hio game utanipenda

huku kwetu walikuwa ukinunua kvant ndogo haoo bora waombe bia wanakuja na kikombe
wakantesaga sanaaa nkaona isiwe tabu....

nikacheza dili na mhudumu bahati wengi wanapenda kuchanganya...nkanunua dulucolax za 4000 nkasagaa ..hizi na za kuharisha aka kusafisha tumbo...nkanunua energy nne ,,akafungua counter akazichanganya na dulucolax...nkamweka sawa nikiagiza yangu toa karatasi ya pemben haikuchanganywa ...wakaona zilizofwata wala sikteseka hamida wape energy weka kwa bill pemben kuna kvant kubwaa

chooooo kilikuwa foleni ya mwendokasi ndugu wakakimbilia kwao kuharisha nikabaki na jamaa nami nikaabidi niunge naumwa wasije hisi mbona pombe moja anaenunua haarishi

kesho kutwa yake nikiagiza hata dompo wanaambiana aisee yule sioo mtu...

yaan niliwaza nihame pub ama lah nkaona kwa pesa yangu no wacha niwap uamuzi waniogope ama waendelee kuomba.........

hili lla beer kipengele wapotezee na kingine hawa mpaka wanaomba mara kwa mara tuliwazoesha enzi hizo tukiwa poa sasa wakikuona bar wanajua bado unaingia n laki kumbe gawa kwa 20..........
 
Hii kali sana 😄😄
 
Nilienda bar weekend nikawakuta washkaji wawili wako na madem zao wakaniita njoo ukae hapa. Sikujua lengo lao, mi nikaagiza bia yangu moja nikajiunga kikao. Nikaona wanaongea wenyewe sauti ya chini wakaanza kunimaind. Ikawa wtf, mmekuja na madem zenu bar mtajijua wenyewe, tusitake kuharibiana bajeti hapa.
 
Hiyo poa Sana mkuu, kunywesha mapunda baa ni uboya!! Mtu unabajeti ya ten zako mbili inatosha Sana!!
 
Unaagiza kanyama nusu, mijamaa hii hapa kujifanya kuonja!!
Wenye baa please timueni hizo omba omba zinakera na zinawahariba biashara
 
Vitu vingine vidogo tu acheni kuvikuza.

Kumnunulia bia mtu jambo la kawaida tu kama huna sema huna.

Kwanza bia za peke yako peke yako hazinogi .

Mimi mara nyingi nikikaa sehemu hata kama mtu simjui ila niliona anavibe namchukulia bia tu vibe wote
Wengine matapeli never ever drink na mtu usiyemjua... Yaani nikukute tu baa halafu dume tuanze kunywa pamoja very risky....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom