Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

hahaaaaaaaaaaaa pole sanaaa mkuuuu
natamanii wanyweeeee kvant ama pombe kalii nipigie nije hio game utanipenda

huku kwetu walikuwa ukinunua kvant ndogo haoo bora waombe bia wanakuja na kikombe
wakantesaga sanaaa nkaona isiwe tabu....

nikacheza dili na mhudumu bahati wengi wanapenda kuchanganya...nkanunua dulucolax za 4000 nkasagaa ..hizi na za kuharisha aka kusafisha tumbo...nkanunua energy nne ,,akafungua counter akazichanganya na dulucolax...nkamweka sawa nikiagiza yangu toa karatasi ya pemben haikuchanganywa ...wakaona zilizofwata wala sikteseka hamida wape energy weka kwa bill pemben kuna kvant kubwaa

chooooo kilikuwa foleni ya mwendokasi ndugu wakakimbilia kwao kuharisha nikabaki na jamaa nami nikaabidi niunge naumwa wasije hisi mbona pombe moja anaenunua haarishi

kesho kutwa yake nikiagiza hata dompo wanaambiana aisee yule sioo mtu...

yaan niliwaza nihame pub ama lah nkaona kwa pesa yangu no wacha niwap uamuzi waniogope ama waendelee kuomba.........

hili lla beer kipengele wapotezee na kingine hawa mpaka wanaomba mara kwa mara tuliwazoesha enzi hizo tukiwa poa sasa wakikuona bar wanajua bado unaingia n laki kumbe gawa kwa 20..........

Utakuja kuua siku moja🤣🤣🤣🤣
 
Vitu vingine vidogo tu acheni kuvikuza.

Kumnunulia bia mtu jambo la kawaida tu kama huna sema huna.

Kwanza bia za peke yako peke yako hazinogi .

Mimi mara nyingi nikikaa sehemu hata kama mtu simjui ila niliona anavibe namchukulia bia tu vibe wote
Sasa ndiyo kila siku vizinga mkuu?..
 
Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.

Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!

Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.

Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia.

Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers

Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
wanakera sio kitoto,Kuna siku me nimeenda tu baa flan mi sio mnywaji kilevi ila napenda tu kwenda baa kula nyama,nimekaa pale nikaagiza nyama kilo ikarostiwa baada tu ya kuanzia kula jamaa akaja kuchukua nyama bila hata kukaribishwa,jaman sio poa mtu umewekwa bajet yako tu then wanakuvamia.
 
wanakera sio kitoto,Kuna siku me nimeenda tu baa flan mi sio mnywaji kilevi ila napenda tu kwenda baa kula nyama,nimekaa pale nikaagiza nyama kilo ikarostiwa baada tu ya kuanzia kula jamaa akaja kuchukua nyama bila hata kukaribishwa,jaman sio poa mtu umewekwa bajet yako tu then wanakuvamia.
Noma sana wanajifanya kuonja kwa kudokoa kumbe wanakula!! Smtms mtu inabidi uende mbali baa za ugenini, kitaa ni keroo
 
Utakuja kuua siku moja🤣🤣🤣🤣
Weka nusu kizibo cha soda kila energy mkuu hawafi ila cha moto watakionaaaaaaa wakikuona wanakuhisi sindano ya chloroquine yaan kuna wengine waliacha na pombe kaka mmoja alisema majuzi jaman Mungu anajua kutumia watuwake yaani nilivyoharisha siku mbili bila kwenda kazini hata pombe sina hamu nayo tena
.........wakikudharaa u ipo siku watakupigia salute...kumbuka kutubu ukiwa unalala
 
Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.

Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!

Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.

Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.

Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂

Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.
Wapi iyo
 
mbez beach unakuta wamegawana meza ukijifanya unahuruma utalia hadi kitimoto wanaombaa yaan ni kama mtu kaja bar kukusubiri .....wiki hii nataka nidili na kiitimoto yaan naenda maduka ya dawa asili nanunua zile punje za kimasai za kusafisha chooo nasaga cha mwanzo nakula mweyewe wakijichanganya nawaagizia nusu wahdumu wafanye yao yaan hakuna rangi wataaacha kuiona
 
Hii kali sana 😄😄
Mkuuuuuuu yaaani hii dhambi najaribu k kuiacha inanishikiliaaaa wale wa 1999
PUGU BOYS SEC
MAPINDUZI BWENI Wananikumbuuuukaaaaaaa
nilikuwa natoka home na pilauuu na nyama nikichelewa naelekea kusali jion kwanza kurudi nakuta nduugu contziner 4 ziko safi yaan n kama vile walikula na wengine wanaangaliaa nje wakamaliza wakasafisha wakardsiha kama ilivyo dah ..aisee walonchezea hivi mara mbili ya tatuuuuu niliwa panga vyoooni mbwa walee kama sina akili nzuriiii na nkaenda kanisan kusali kurudi nakutaa wanaulizanaa br tokaa banaa tokaaa bana duh nilienda preple nkaomba kulala kwa jamaa hasira ziishe asbh ni story jaman yulr jamaa msiguse chakula chake katupanga folen wengine wakakimbilia vyoo vingine ...hii ya pombe niliwa piga apr mwaka huu ...uzuri natubu sikuhio hio
 
Mi kuna moja huyo alivyo niona nimekaa tuu kwenye meza yangu pekeangu.
Nae huyu hapa kaja.
Basi nikiagiza Round basi na yeye nimpatie Story zake si maisha yangu.
Alipo nitibua nipale nimepokea Simu nikaenda pembeni kidogo kuongea narudi nakuta bia zangu kampa Muhudumu azibadilishe zikawa zake na kazifungua Dah...
Muda huo sija aga nabili sija lipa nikasepa zangu
kuna watu waajabu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom