Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Mimi wanaume wanaoomba bia bar hawaniumizi kichwa sababu naweka faru Joni hapo na maji kazi inaendelea, shida yangu Mimi napenda sana kunywa kwenye vi premises vidogo vidogo na unakuta vingi ni vinamilikiwa na hawa mabibie Sasa hawa changamoto Yao kubwa atataka muende sawa ukiagiza bia 2 nayeye umuagizie na mind you ili afanye biashara lazima akomae na tenda ndogo ndogo yani nayeye awe mnywaji au mteja. Mixer kurudisha change kwao ni msamiati mgumu atatafuta visababu ili mradi uache change kesho ukiirudia circle inaendelea, Sasa dawa Mimi namkula naendelea pub nyingine woiiii.
mbona hii rahisi ukichuukua kinywaji usijipendeekeze kukaa karibu na hako ka pub mwambie niwekee meza kule awez acha ofisi akae na wewe mda wote ile nenda rudi kafika kibo toka ubungo akikuona hata salam akupi
 
sikuhizi wenye bar wamejiongeza hata hivyo vi pub wengi wamiliki wa bar kubwa na sikuhizi wanaenda babati na karatu kuwaletea ngozi laini hataree njoon.m.beach hakikisha tu nauli unaweka mfuko wa nyuma unaoukalia zingine hata zikiisha uko safe kurudi kwako
 
Vitoto vya kimburu hatari khatesh, Hanang, Dongobesh, Yaheda chini balaa mpwa, unajilia mema ya nchi tu, wana Rangi ya masiha.

Cc: Preta upo?
 
Kweli hii tabia inachefua mno. Mimi huwa nikiingia hayo maeneo huwa sitaki mazoea kabisa. Ukiniomba bia nitakujibu STRAIGHT sina hela.
hio sio straight.....mimi i smoker pia wa embassy....na ilivyopanda bei..hata kabla mimi huwajibu SITAKI/SIKUNUNULII akiuliza kwa nini kwa mshangao nauuliza nikununulie kwa kipi! si nimeomba tu.... ombi lina majibu mawili kukubaliwa au kukataliwa...anaondoka kavimba ....naendelea kujiburudisha....
 
Hii ni nzuri. Ila lakini kila nikifikiria inawezekanaje mtu uende bar kuomba bia sipati jibu sahihi.. inasikitisha
 
mbez beach unakuta wamegawana meza ukijifanya unahuruma utalia hadi kitimoto wanaombaa yaan ni kama mtu kaja bar kukusubiri .....wiki hii nataka nidili na kiitimoto yaan naenda maduka ya dawa asili nanunua zile punje za kimasai za kusafisha chooo nasaga cha mwanzo nakula mweyewe wakijichanganya nawaagizia nusu wahdumu wafanye yao yaan hakuna rangi wataaacha kuiona
Zile punje waraab wanaita habat mruki au karanga pori? Wallah asipoharisha mtu puru sijui zile ni kifo
 
Hawana roho mbaya ila ukiona mpaka wameongea its too much.
Kuna watu wanakera wala si masihara, halafu hivi vipub vyetu vya mtaani wengine wala hataki bia utasikia niungie buku ninunue kisungura.

Kwa sisi watu ambao tunajurikana sana kwenye jamii tunayoishi kwa kweli ni changamoto sana kunywa kwenye vipub vyetu vya mtaani.
 
uchoyo tu umewajaa mablaza. mnakunywa za wenzenu ikifika zamu yenu mnaanza kuleta mpaka thread jf.

Atakuombaje mtu bia kama hajawahi kukupa?!
JF bana.. kwaio hapa woote nyie ni watoa offer tu.?
IMG_20230623_112850.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom