Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Kuna wengine niliwazungushia maraundi Msasani kule, akaja demu nikamtamani walimfukuza kama mbwa. Wakaniambia ukimwi tu ule. Waliona nikichukua demu ofa zimeisha. Mpaka kesho nasikitika kwasababu yule mtoto alikuwa mzuri nikamkosa hivihivi kwasababu ya hawa watu na tamaa zao za pombe.
Daaah hao jamaa nuksi sana, sasa hapo tofauti yao ni ipi na hao wadada
 
dammy
ujakutana naoo jamaa kama wana hirizi unatoka job kabisa unasema leoo simnunulii mtu wakikuona wanakuangalia ukiwaangalia umeisha wanaanza chooni kwanza wakirudi wanafikia meza uliopo yaan .....unatoaaa ndugu ...kama chum ULETE
Sometimes mtu inabidi uagize bia chobisi kwenye kagiza kukwepa walimwengu 😄😄😄
 
Si kwa uchoyo ila inaleta kero sana, unakuta mtu una pesa kidogo kama elfu tano hivi, unasema ngoja nipitie baa hapo nipate hata vibia viwili vya kupatia usingizi niende nyumbani.

Ukiingia baa sasa unazingirwa na wakaa baa tena wengine na heshima zao, kuanza kung'ang'ania umununulie bia!!

Ndiyo jibu ni rahisi utamjibu sina hela ila sasa mpaka akuelewe ni maelezo mengi kama si kugombana.

Wakati mwingine unaweza rudia mlangoni ukicheki omba omba wa bia wanavyokukodolea macho wakingoja ukae waje anza kukupamba sifa za kindezi huku wakiomba bia😳😳.

Hii ni aibu sana, kama huna mia bora ukae home acha kukera watu.
Mtu unanunua kanyama choma nusu kamewekwa mezani tu, mtu huyo nae kuzuga na salamu mara katia fingers😂😂

Hawana heshima wala adabu tena sometimes mtu hata huna huusiano nae wa karibu.


Mimi nikienda Bara huwa hata sisemeshi zaidi ya Mhudumu kuniuliza unaitaji nini.

Tatizo lenu mnaendekeza mahusiano ambayo mnakuwa na hela na vi offer vya hovyo.

Siku hamna hela sio kwamba wao wataota mna hela, hapana, haya mazoea mnasababisha wenyewe
 
hahaaaaaaaaaaaa pole sanaaa mkuuuu
natamanii wanyweeeee kvant ama pombe kalii nipigie nije hio game utanipenda

huku kwetu walikuwa ukinunua kvant ndogo haoo bora waombe bia wanakuja na kikombe
wakantesaga sanaaa nkaona isiwe tabu....

nikacheza dili na mhudumu bahati wengi wanapenda kuchanganya...nkanunua dulucolax za 4000 nkasagaa ..hizi na za kuharisha aka kusafisha tumbo...nkanunua energy nne ,,akafungua counter akazichanganya na dulucolax...nkamweka sawa nikiagiza yangu toa karatasi ya pemben haikuchanganywa ...wakaona zilizofwata wala sikteseka hamida wape energy weka kwa bill pemben kuna kvant kubwaa

chooooo kilikuwa foleni ya mwendokasi ndugu wakakimbilia kwao kuharisha nikabaki na jamaa nami nikaabidi niunge naumwa wasije hisi mbona pombe moja anaenunua haarishi

kesho kutwa yake nikiagiza hata dompo wanaambiana aisee yule sioo mtu...

yaan niliwaza nihame pub ama lah nkaona kwa pesa yangu no wacha niwap uamuzi waniogope ama waendelee kuomba.........

hili lla beer kipengele wapotezee na kingine hawa mpaka wanaomba mara kwa mara tuliwazoesha enzi hizo tukiwa poa sasa wakikuona bar wanajua bado unaingia n laki kumbe gawa kwa 20..........
Roho mbaya ya kipumbavu
 
Hawaelewi hao, siku akipata tatizo ndo ataelewa umuhimu wa wana.
Kuna jinga moja lilikwiba pesa za umma akatiwa ndani gereza la keko, kufika jela akakuta kijana Mdogo anamiliki kimvuli, basi basi jamaa bila kujuwa akaenda kukakaa kimvulini, mwenye kimvuli chake aliporudi yule Boss alichezea makofi siyo ya dunia hii akaambiwa akae juwani, kumbe kuna mshkaji wa mtaani yupo jela mule jela muda mrefu tu ndio akamuokowa na kuanzia hapo ndio alikuwa na maisha Salama jela mpaka anapata dhamana. Imagine mtoto Mdogo jela anakutandika makofi na huwezi kumrudishia, lakini hawa ukianza kuishi nao vizuri siku ukipata bahati Mbaya ukakanyaga angalia zao wanakutreat kama mfalme.

Humu kuna Watoto wamepata kazi juzi wa nadhani wasiokuwa na pesa ni wajinga.

Mimi weekend hizi kama mfuko inaruhusu mtaani hata laki mbili wana nawapiga chupa kama kawaida, ukiona mengi duniani huwezi kumdharau mtu hasa mwanaume.

Kama kuna watu wanazinguwa kwenye hizi bar tafuta namna bora ya kuwaepuka, lakini mjini jaribu kuheshimu watu.
 
Kuna jinga moja lilikwiba pesa za umma akatiwa ndani gereza la keko, kufika jela akakuta kijana Mdogo anamiliki kimvuli, basi basi jamaa bila kujuwa akaenda kukakaa kimvulini, mwenye kimvuli chake aliporudi yule Boss alichezea makofi siyo ya dunia hii, kumbe kuna mshkaji wa mtaani yupo jela mule muda tu ndio akamuokowa na kuanzia hapo ndio alikuwa na maisha Salama jela mpaka anapata dhamana.

Humu kuna Watoto wamepata kazi juzi wa nadhani wasiokuwa na pesa ni wajinga.

Mimi weekend hizi kama mfuko inaruhusu mtaani hata laki mbili wana nawapiga chupa kama kawaida, ukiona mengi duniani huwezi kumdharau mtu hasa mwanaume.

Kama kuna watu wanazinguwa kwenye hizi bar tafuta namna bora ya kuwaepuka, lakini mjini jaribu kuheshimu watu.
Halafu wengine humu wanajisifu lakini kiuhalisia choka mbaya.
 
Wavuvi hawapo kabisa hao watu ukionekana unatolewa chapu sana ukiniambia samaki samaki sawq kwasababu pale wanaingia watu ovyo ovyo
Tatizo lenu kuna vitu vingi hamvijui, rafiki yangu mzungu jina kapuni enzi za Sheraton hotel alinifundisha namna ya kuzamia minuso ya ubalozi wa nchi zao.

Kanuni ya kwanza lazima uwe na suti six button na ukishuka kwenye gari mlangoni unatembea kwa speed kama mtu ambaye yupo nyuma ya wakati mlangoni huwezi kuulizwa kadi hata siku moja.

Yule jamaa yangu tumeshazamia sherehe zao kadhaa pale Sheraton hotel bila kadi na mpaka vijiko vile executive alikuwa akikipenda kijiko anaiba, ndio Mara ya kwanza nazijuwa tabia za wazungu kama vile wabongo wanaovyoiba mataulo ya hotelini.
 
Ajabu na inakera sana. Beer haiombwi ni mtu tu unamnunulia ukijisikia.

Mtu akileta mambo ya kuombana mapema sana namkataa, Ni akili za kifukara sana kuombana beer.
Natoka zangu home nina 30 yangu najua hii leo inanitosha.. Jitu linaleta story story mala linakuomba beer. Mbaya zaidi ukilikazia linaona unalinyima. Kumbe ww una budget yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom