Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Wanaume omba omba wa baa, acheni hizo

Lazima uwe na msimamo huo, hujawahi kuishi nje ya familia yenu au kwenda kuishi mbali bila ndugu.

umekuja bar huna hela unaomba bia... kwako ni sawa mtu kuomba bia?..

bia sio kitu cha lazima ambacho ukikosa kinaweza kuwa tatizo, ndio msimamo wangu siwezi kumnunulia mwanaume mwenzangu bia bar, ila naweza kumnunulia mtoto wa kike maana kwangu ni stock.

Mwanaume hanunuliwi bia.
 
Sinza ndio balaa, wanakusubiri utoke kazini wanakupigwa bom pombe tena kwamezidi mademu
Sijui wangekuwa wanajinsia nyingine ingekuaje!! Yaaani mwanaume unapambana kutwa nzima ye katulia baa anazuga na maji makubwa akingoja uje umtoe loku😳😳
 
Kwangu iko tofauti...kuna wakati nakua mtee kabisa sh kumi mbovu sina..sasa hapa unaongea na counter tu anakuchora kuomba no...nikiwa ok na clear kesho yake....

Nikiwa ok nazungusha sana round ila sinywi na mtu harudishagi fadhila...nakutupia siku ya kwanza ya piki ya tatu nakutema speed sana

Sasa ukiwa na tabia ya kusokota hutakaa unaomba bia baa hata siku moja...ukifika tu utaskia mpe tano huyu...maana wanakumbuka...

Ndio maana unatakiwa uwe na baa za kunywa frequently...baa ngeni mara moja moja ukiwa na pisi labda.....ila pia

Kama ni masela mara moja moja nawatoa na nawachana oyaa ten yenu ya kibomba hii hapa bapa zenu tatu mtachanganya wenyewe inakua hamna lawama

Kila mtu ana code zake......
 
Tatizo menu kuna vitu vingi hamvijui, rafiki yangu mzungu jina kapuni enzi za Sheraton hotel alinifundisha namna ya kuzamia minuso ya ubalozi wa nchi za zao.

Kanuni ya kwanza lazima uwe na suti six button na ukishuka kwenye gari mlangoni unatembea kwa speed kama mtu ambaye yupo nyuma ya wakati mlangoni huwezi kuulizwa kadi hata siku moja.

Yule jamaa yangu tumeshazamia sherehe zao pale Sheraton hotel bila kadi na mpaka vijiko vile executive alikuwa akikipenda kijiko anaiba, ndio Mara ya kwanza nazijuwa tabia za wazungu kama vile wabongo wanaovyoiba mataulo ya hotelini.
Daaah, umetoboa siri ya kambi,code hizo mzee 😅😅😅
 
Kwangu iko tofauti...kuna wakati nakua mtee kabisa sh kumi mbovu sina..sasa hapa unaongea na counter tu anakuchora kuomba no...nikiwa ok na clear kesho yake....

Nikiwa ok nazungusha sana round ila sinywi na mtu harudishagi fadhila...nakutupia siku ya kwanza ya piki ya tatu nakutema speed sana

Sasa ukiwa na tabia ya kusokota hutakaa unaomba bia baa hata siku moja...ukifika tu utaskia mpe tano huyu...maana wanakumbuka...

Ndio maana unatakiwa uwe na baa za kunywa frequently...baa ngeni mara moja moja ukiwa na pisi labda.....ila pia

Kama ni masela mara moja moja nawatoa na nawachana oyaa ten yenu ya kibomba hii hapa bapa zenu tatu mtachanganya wenyewe inakua hamna lawama

Kila mtu ana code zake......
Ewaaa, sasa hii hata ukiwa umepumzika Nyumbani utasikia simu zinakutafuta zenyewe uende ukagonge vyombo na ya supu mtu anakutowa.

Halafu mwanaume lazima uwe na mazingira ambayo watu wanakumis kutokuwepo kwako sehemu.

Kuna Kenge zingine humu hata zipotee sehemu mwaka mzima hakuna mtu wa kumuulizia Fulani vipi au yuko wapi?
 
Kuna wengine niliwazungushia maraundi Msasani kule, akaja demu nikamtamani walimfukuza kama mbwa. Wakaniambia ukimwi tu ule. Waliona nikichukua demu ofa zimeisha. Mpaka kesho nasikitika kwasababu yule mtoto alikuwa mzuri nikamkosa hivihivi kwasababu ya hawa watu na tamaa zao za pombe.
Dah hii dunia yaani mtoto wa kiume anamfukuza wa kike ili apate ofa yeye [emoji3][emoji3]

Enzi za ulevi wangu ni ofa kwenda mbele ila hela ya ofa ikiisha usijaribu kucheza na hela bajeti ya ulevi wangu .

By the way hakuna ndugu wa kweli na rafiki wa kweli kama mlevi .

Walisema wazungu , "where there is the wine there is the truth"
 
Kuna jinga moja lilikwiba pesa za umma akatiwa ndani gereza la keko, kufika jela akakuta kijana Mdogo anamiliki kimvuli, basi basi jamaa bila kujuwa akaenda kukakaa kimvulini, mwenye kimvuli chake aliporudi yule Boss alichezea makofi siyo ya dunia hii, kumbe kuna mshkaji wa mtaani yupo jela mule muda tu ndio akamuokowa na kuanzia hapo ndio alikuwa na maisha Salama jela mpaka anapata dhamana.

Humu kuna Watoto wamepata kazi juzi wa nadhani wasiokuwa na pesa ni wajinga.

Mimi weekend hizi kama mfuko inaruhusu mtaani hata laki mbili wana nawapiga chupa kama kawaida, ukiona mengi duniani huwezi kumdharau mtu hasa mwanaume.

Kama kuna watu wanazinguwa kwenye hizi bar tafuta namna bora ya kuwaepuka, lakini mjini jaribu kuheshimu watu.
Neno.[emoji120]
 
Ewaaa, sasa hii hata ukiwa umepumzika Nyumbani utasikia simu zinakutafuta zenyewe uende ukagonge vyombo na ya supu mtu anakutowa.

Halafu mwanaume lazima uwe na mazingira ambayo watu wanakumis kutokuwepo kwako sehemu.

Kuna Kenge zingine humu hata zipotee sehemu mwaka mzima hakuna mtu wa kumuulizia Fulani vipi au yuko wapi?
Aisee Dr Matola PhD kuna kitu unaongea japo ni katika harsh language ila ni neno zito hasa kwa mtu aliye mwanaume.KONGOLE
 
Kwa mwezi bajet yangu ya pombe Ni 30k na hua nakunywa Mara moja tu maana zamani pombe iliniletea matatizo Sana ya kiuchumi baada ya kushindwa kuicontrol kwa Sasa Mambo Safi nakunywaga bila stress nakua ndani ya ratiba na bajet,, bajeti iko hivi Kilimanjaro kubwa 7 tsh 14000 kitimoto kilo moja 8000 , maji makubwa 1000, 5000 hii maalum kwa kumpa ofa yeyote nitakaemkuta baa amekaa kinyonge awe me au ke , 2000 nauli boda kurudi kulala hapa nakua nimemaliza tukutane mwezi ujao
 
Bajeti ya msimamo mkali hii mkuu😄
 
Unaishi wapi uko mnapouziwa kitimoto kilo sh 8000? Mbona rahisi?
 
Mi
Mmekalia fikra potofu na giza, ko mwanaume kumuomba mwanaume mwenzio msaada tatizo au shida nn??

Ndo mmekumbushwa siku yakiwafika hao wanaume ndo watakua msaada kwenu
Mi kumsaidia mwanaume mwezangu sio shida msaada hachagui jinsia ila mitazamo ni mibqyq sana na ina nguvu
 
Mi

Mi kumsaidia mwanaume mwezangu sio shida msaada hachagui jinsia ila mitazamo ni mibqyq sana na ina nguvu
Unaishi kwa mitazamo mibaya yenye nguvu, au unaishi ki uhalisia kutokana na principles zako za maisha???
 
Mimi nikienda bar huwa nimejipanga vilivyo siwezi kwenda bar nikiwa na chini ya elfu 50.

Ila katika mazingira ya kawaida nikikwama siogopi kuvuta waya kwa wanangu wanivushe.
vicoba hioo si mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom