Wanaume Nisaidieni

Wanaume Nisaidieni

Kwa ushauri tu, kabla ya kuingia ndani kabisa ya mahusiano, ni vyema kujua dhamiri ya mwanamume na dhamiri yako. Ikiwa dhamiri yako ni kupata mwenza wa kudumu, haifai kujiingiza kichwa kichwa, msome na yeye ana dhamiri gani na sio kwa maneno tu. Kwa kutumia msemo wa "Hakuna anayeiona asali kuwa ni chungu", wanaume wengi huwa tuna tabia ya kuonja-onja halafu tunapotea. Vile vile, kuna baadhi ya wanaume kadiri unavyomfatafata kwa simu, barua n.k. ndivyo anavyojiona ni muhimu sana na ndo mana honesha nyodo. Uamuzi wa mwisho, usisubiri mpaka mwanamue anakuchunia, anza kumchunia wewe.
 
Bless you,thank you!
 
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi

Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????

2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??

3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?

Natumai maswali si mengi sana.

Huwa tunataka SEX tu, tukishapata basi tena! Kwanini niendelee kuplea simu zako wakati nimeshapa nilichokuwa nakitaka? Labda siku nikiwa na hamu ya kuonja tena basi nitapokea simu.
 
umelengeshea kichizi
 
Mi nafanyaga ivo kuongeza idadi ya maadui na kumake history manake nikija kuwa mzee wakati nawaasa wajukuu zangu ntawaambia wanawake ambao nimeshakula nao uroda a.k.a tundi ni kama laki ivi tena ninaowakumbuka achilia mbali nliowasahau.basi hapo wajukuu lazima wacheke sana mixa kushangilia babu we hakika ulikuwa mkali.events make history for the future.
 
ha ha ha ha!

ninyi wenyewe mnawapa vijana hizo ''MAKITU'' at the same time mnakuja na ''katiba zenu''.

again mnatumia hio ''MAKITU'' kama silaha ya mahusiano,mnasahau kwamba mko wengi sana hapa daslam

ACHENI ZINAA BANA!
 
Zinaa tunafanya wenyewe????
 
Mi nafanyaga ivo kuongeza idadi ya maadui na kumake history manake nikija kuwa mzee wakati nawaasa wajukuu zangu ntawaambia wanawake ambao nimeshakula nao uroda a.k.a tundi ni kama laki ivi tena ninaowakumbuka achilia mbali nliowasahau.basi hapo wajukuu lazima wacheke sana mixa kushangilia babu we hakika ulikuwa mkali.events make history for the future.

Natumai utawaona wajukuu zako,wenzio wakihadithia walivyopata kwenye maisha yao mafanikio,we hadithia uo upupu???labda wajukuu zako wawe na akili kama yako otherwise watajuta wao ni sehemu ya damu yako.
 
Huwa tunataka SEX tu, tukishapata basi tena! Kwanini niendelee kuplea simu zako wakati nimeshapa nilichokuwa nakitaka? Labda siku nikiwa na hamu ya kuonja tena basi nitapokea simu.

Sawa kabisa,nachofurahi na mkeo na dada zako hawako exception,hayo hayo ndo wanayopita..........what goes around..............keep it up!
 
Of course nao ni wanawake na wala sitashangaa kama wanabanjuliwa na kukimbiwa!
 
Tatizo mpo wengi sana.....sasa hatuna haja ya kukaa na mmoja kwa muda mrefu....siku hizi hata ukimwambia demu nipo na mwenzio tulia kwanza au kama huna wivu uje...utaona atakuja na baadaye mbinde inaanza....dah!
 
Michelle...........kwanza jua kwamba wanaume wote wenye uwezo wa kuchakachua huwa tunaanza kutamani kwanza hizo mbunye then kupenda baadae,thats why kabla hamjatupa huwa tunaonyesha full macare hata majift ya kumwaga..........sasa basi kama mwanaume akisha kusoma kuwa unatamani hivyo vitu then ukampa mbunye basi huta mwona namacare ya mwanzo tena........atakuwa anakukumbuka pindi akikosa kwingine au pindi akiwa naham.............

pia kingine kuwa mwangalifu kuchagua mtu wa PROFESSIONAL YAKO........usije ukawa ww MWASIBU then unafall kwa MWANAMUZIKI ...NK..

PIA wanaume wengi tunajua viruka njia....
 
Wanawake wengi pindi wanapotongozwa hufanya makosa kwenye maamuzi yao ya kukubali au kukataa. Binti ambaye yuko hot btn 16-30yrs anakuwa na watu wengi wanaomtongoza, so sio rahisi kwake kutambua yupi yupo for real or not. In most cases girls choose what their insticts direct them rather than using the brain to think a little. Binti wa aina hii ukimfata anakuwa hard to get, mostly probably because she use her insticts and in most cases she will end up giving it to a player who will dump her very soon after sex. So muanzisha thread, naona binti anatakiwa atumie akili yake zaidi katika kukubali kulala na mwanaume, kujifanya hard to get kwangu hainivutii kabisa ni kupotezeana muda and when you are in a relationship be 100% in it.
 
Michelle njoo kwangu achana na hao wanao DO na kukimbia.

Kwangu mie utaganda kabisaa na km huamini basi nitafute.
 
Umenikumbusha movie moja inaitwa "THINK LIKE A MAN,ACT LIKE A LADY"....Kulikuwa na msichana ambae ndo kama hivo amekamilika kila nyanja lkn akishatoa papuchi tu mtu anatoka baruti hamuoni!!!Steve Harvey akamwambia "KEEP THE COOKIE IN THE COOKIE JAR"!!For 90 days until you know him,his short term goals,his long term goals,and he says the three words!!!!Hii inapply kwa maplayer though!!!
 
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi

Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:

1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????

2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??

3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?

Natumai maswali si mengi sana.
Ukinizungusha sana naweza nkupotezee au nikaze mpaka nikupate na nkisha kupata utaishia kusoma plate number.............................
 
Back
Top Bottom